Matibabu mbadala ya ugonjwa wa uvimbe wa mishipa ya fahamu(neurofibromatosis).

Rivamba J

JF-Expert Member
Aug 19, 2013
385
170
Nina mdogo wangu ana tatizo hilo linamtesa sana toka akiwa mdogo amefanyiwa operation mara kadhaa na bado unajirudia. Ulimtokea ktk eneo la pua na jicho.
Nawakaribisha wataalamu kwa msaada kama kuna dawa maana hospital anaambiwa ni upasuaji tu sasa atapasuliwa mpaka lini? Ndo tunawaza hapo
 
Mhhh ndugu yangu huo ugonjwa sidhani kama una dawa nimeshawahi kusoma kwenye mtandao nikaona hicho kitu,
Jaribu kugoogle utasoma kila kitu...
Huo ugonjwa huwa unaenea mwili mzima kadiri siku zinavyoenda
 
Back
Top Bottom