Search results

  1. dizzo11

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Walianza kufuta udambwi udambwi! wana tumeanza libeneke upyaaah..Mara Paap! hamad! togwa limeingia inzi, Paka Shume lilikotokea ati anadai hajui shida?? lo salaleeeh, hivi kuna kiumbe hajui shida? "hata kufatilia nyuzi za watu nayo ni shida pia" .wana tuendeleze libeneke na maudambwi udambwi kwa...
  2. dizzo11

    Magufuli, agenda yako ya kwanza iwe kuunganisha watanzania

    hapa nyumbani kwetu wapangaji wamenuniana kisa siasa,kukicha vijembe,mipasho mpaka imekuwa bonge la soo..jana baada ya magufuli kutangazwa mshindi kuna mama aliweka ule wimbo wa ccm mbele kwa mbele weee!...bro na mimi 2po UKAWA basi kwa hasira bro kazima umeme nyumba nzima na katia mkwara ole...
  3. dizzo11

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    sitampigia kura yoyote si ukawa wala ccm..nimeridhika na maneno ya Dr Slaa
  4. dizzo11

    Bimkubwa agoma kurudi Africa, kisa mfumo wa maisha mbovu

    babu mpe hi! cambiasso mwambie mwanao dizzo anasema vp ule mpango wa nauli coz nishakinai vumbi na dharau kibao toka kwa akina mwajuma ndalandefu..
  5. dizzo11

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    mapenzi ulaya,afrika biashara
  6. dizzo11

    Wabongo kwa misemo mimi hoi

    duuu...asanteeeeh
  7. dizzo11

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    amini huku rvp,huku rooney,apo kati sasa mtoto angel a.k.a malaika cjui wale chekechea wa wenger watatokea wap
  8. dizzo11

    2Pac Shakur - Hip hop giant legacy thread

    gheto gospel,huwa inanipeleka far away
  9. dizzo11

    Warembo wa kinyarwanda Vs wa kichaga wapi wanakimbiza?

    mkuu ni sawa na kulinganisha Mrisho Ngasa Na Christiano Ronaldo hao wachaga wako mbele ya watoto wa kagame wataonekana wanaume tuu
  10. dizzo11

    Methali za makabila mbali mbali

    ngoja ni boost wa kunyumba,"mpinji si mhomi"mweka kisasi huishia pabaya
  11. dizzo11

    Ugali ni chakula cha kimasikini

    sio bure!
  12. dizzo11

    Ugali ni chakula cha kimasikini

    kwa noa,six battom,mlenda, kisamvu,tembele n.k
  13. dizzo11

    Dalili kuu ya mwanaume shoga!

    xaxa we unataka kuharibu baraza
  14. dizzo11

    Sifa za mwanamke wa kimachame

    sawaa! ni hulka ya mtu lakini wao wamezid
  15. dizzo11

    Sifa za mwanamke wa kimachame

    bado hajakufika
Back
Top Bottom