Search results

  1. halelwa

    Mh. Rais waache wapinzani wafanye mambo yao,kuwazuia ni kuwajenga

    Jamani ni kweli zitto hajulikani alipo?
  2. halelwa

    Magufuli: Wanaopita kwenye barabara za mwendokasi chomoeni tairi za magari yao muuze

    Alikuwa rais hapa watu wakalalamika anakalia mambo kimya sasa amekuja anayejibu naye anaonekana sio mzuri,Jaman nani mwingine mnamtaka?
  3. halelwa

    Nina shida ndugu zangu!

    nakushukuru sana kaka kwa ushauri wako mzuri!Kaka ukimiliki hii gari utagundua ni gari ambayo ni durable sana na haiharibiki hovyo,mimi nilikuwa nayo ya mwaka 2000 kuna mtu kaipenda nikamuuzia1ila nimeamua kuchukua vogue ya 2004!
  4. halelwa

    Laptop hii ina tatizo gani?-Msaada Please!

    Mkuu mimi nilimaliza BA tu kaka sio msomi saana kidogo si unajua elimu yetu haina soko,so hata wewe unavyosoma ujaribu kuangalia masomo ambayo taaluma zake ni marketable!Nashukuru Mkuu. Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  5. halelwa

    Nisaidieni Jamani, Napaliwa sana nikiwa Usingizini

    Poa Kaka uende hospital ndungu yangu Bado tunahitaji kuona Post zako humu jukwaani!Mungu akutie Nduvu. Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  6. halelwa

    Nisaidieni Jamani, Napaliwa sana nikiwa Usingizini

    Pole sana Ndugu yangu na mimi nilikuwa na tatizo kama la kwako,lakini sasa hv limeisha,sitaki kukutisha lakini lazima nikuambie ukweli,kwanza check minyoo,kama hauna minyoo au unayo na umetumia dawa bado hali ipo vilevile nenda kacheck Moyo kafanye kipimo cha ECG na ECHO. Lazima utapata majibu...
  7. halelwa

    Laptop hii ina tatizo gani?-Msaada Please!

    Mimi kama IT nasema hv screen au display kama unvyoiita imeungua,hii inatokana mara nyingi na tatizo la umeme,Asante.ukitizama kwa mbali utaona vitu vinaonekana kwanye screen yako ukiwa umeiwasha so kinachoungua ni taa za kumulikia hivyo vitu vinavyoonyeshwa kwenye screen yako,hapa nimekuingiza...
  8. halelwa

    Nina shida ndugu zangu!

    Kaka mimi nimekuuliza tu vzr kwa uzr tena kwa heshima likin kuna mtu mmoja hapa ananichanganya yaani sielewi hili jambo la mimi kukuuliza wewe habari ya Range rover sijui limemkera nini ndugu yangu!YAANI KWA UFUPI SIMUELEWI NIA NA LEONGO LAKE!NI HUYU MKUU ANAYEJIITA MAMNDENYI SIMUELEWI KWA...
  9. halelwa

    Nina shida ndugu zangu!

    kumbe ulikuwa hujui kama kupumua ni muujiza basi hata kula kuwa na nyumba,kupata kazi nzuri biashara yako kwenda vzr hata kutembea ni muujiza,kuna watu hata haja ndogo hawpati nini kuwa na gari!mimi ndio nikushangae wewe kuona nimeammua kununua gari yenye pull kubwa!pole.
  10. halelwa

    Nina shida ndugu zangu!

    Unajuaje kama na mimi nina kisima cha mafuta tatizo mmekariri kuendesha viji starlet,viji cololla, Vitz kisa mafuta!JAMANI TUPO TOFAUTI,HATA VIDOLE HAVILINGANI,HATA KUWA NA GARI NI MAENDELEO,KILA MBUZI ANAKULA KWA UREFU WA KAMBA YAKE MIMI SIWEZI KUJILINGANISHA NA MTU ANANIKATISHA TAMAA KAMA...
  11. halelwa

    Nina shida ndugu zangu!

    Unavyokiri ndivyo utakavyopokea! Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  12. halelwa

    Nina shida ndugu zangu!

    Kaka nitakutafuta unishauri zaidi mimi nakaa Kimara suka!kwa hiyo najua nikiweka mafuta ya elfu 30 naingia town na kurudi nyumbani kwangu kimara suka kaka huku njia ni mbovu balaa ndio maana nataka hiyo gari lakini naona kama ya kwako engine yake ni kubwa 5.0L hii ninayotaka 4.6L hope hii ulaji...
  13. halelwa

    Nina shida ndugu zangu!

    Vp service zao ni nzuri,vp Durability ya gari unayo kwa muda gani mpaka sasa. Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  14. halelwa

    Nina shida ndugu zangu!

    Vp service zao na hiyo gari unayo kwa muda gani mpaka!Durability ya Gari ipoje!wewe unayo ya mwaka gani! Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  15. halelwa

    Nina shida ndugu zangu!

    Kaka nakushukuru sana kwa majibu yako mazuri!maana kuna jamaa hapa ameniponda Basi tu.mimi nat aka kuagiza Range Rover 4.6 ya mwaka 2002 ndio maana nikauliza!si unajua vitu kama hivi lazima uulize usije ukajuta kununua gari!Nashukuru sana kaka!vp wewe service unafanyia wapi?Kaka nakushukuru sana...
  16. halelwa

    Nina shida ndugu zangu!

    Mbona unaguna kaka? Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  17. halelwa

    Nina shida ndugu zangu!

    Kaka mbona unaguna vp? Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  18. halelwa

    Nina shida ndugu zangu!

    Kaka nakushukuru sana kwa majibu yako mazuri!maana kuna jamaa hapa ameniponda Basi tu.mimi nat aka kuagiza Range Rover 4.6 ya mwaka 2002 ndio maana nikauliza!si unajua vitu kama hivi lazima uulize usije ukajuta kununua gari!Nashukuru sana kaka!vp wewe service unafanyia wapi? Sent from my...
  19. halelwa

    Nina shida ndugu zangu!

    naomba msaada kufahamu hv 4.6l engine ulaji wake wa mafuta upoje litre moja inaenda kilometre ngapi? ASANTE
  20. halelwa

    Ni nunue lipi kati ya discovery 2 ; ford escape ; nissan x trail ; etc

    kaka naomba msaada 4.6l engine V8 ulaji wake wa mafuta upoje litre moja inenda kilomtre ngapi?ASANTE.
Back
Top Bottom