Search results

  1. Ramthods

    Je,Afrika tunahitaji motivation ya nchi moja ili kukua kiuchumi,kisiasa na kijamii..?

    Mimi sio mtaalamu kwenye mambo ya uchumi, ila maoni yangu ni kama ifuatavyo: Kwa mujibu wa Wikipedia, kipato cha mtanzania kwa mwaka ni USD 1,200. Linganisha na nchi kama Botswana ambayo kipato cha mtu mmoja kwa mwaka ni USD 8,200, au karibia mara saba ya kipato cha mtanzania. Ingawa Botswana...
  2. Ramthods

    ‘Motivational Speakers’ wanaweza kuharibu maisha ya waajiriwa

    Motivational speakers wanawaambia watu kitu ambacho watu wanapenda kusikia. Wanafahamu kuwa watu wengi wanapenda kujiajiri, hivyo na wao wanaingia na gia hiyo hiyo. Ukweli ni kwamba, sio kila mtu anaweza kujiajiri. Kujiajiri sio jambo la uamuzi tu, bali ni jambo ambalo linategemea uwezo wako...
  3. Ramthods

    Wafanyabiashara nyanya, vitunguu, viazi kutumia mizani

    Mimi nilikwenda soko la Mwananyamala kununua nyanya na vitunguu saumu. Kwa kilo vilikua vichache, nikaona ni bora kununua kwa fungu/kisado. Pia haya mazao mashambani yananunuliwa kwa mafungu (e.g kwa gunia etc). Inatakiwa wakulima wauze mazao kwa kilo. Hata matunda kama tikiti maji, yanapaswa...
  4. Ramthods

    Askofu Bagonza atangaza ibada kurejea kuanzia Mei 31, waumini wote watatakiwa kuvaa barakoa

    That was a wrong move. Sasa kitu gani kilimfanya asimamishe huduma, na kitu gani kimebadilika hadi kuamua kuendelea? Lockdown is a short term strategy. Huwezi pambana na corona kwa kuweka watu lock down. Mwishoni mwa siku, lockdown itaondolewa nchi zote, ingawa corona bado itakuwepo
  5. Ramthods

    Kenya yapata idhini ya kufanya majaribio ya chanjo ya Corona kwa binadamu

    Title ya hii thread ni misleading. Hizo sio chanjo, hizo ni dawa za kuboresha "recovery time" kwa wagonjwa wa Covid-19. Remdesivir, ni dawa ambayo ilitengnezwa kwa ajili ya ugonjwa wa Ebola, na pia ilishafanyia majaribio kwa ugonjwa wa SARS/MERS Hydroxychloroquine ni dawa kwa ajili ya tiba ya...
  6. Ramthods

    Wizara ya Afya yasambaza vifaa kinga ili kukabiliana na janga la Coronavirus

    Yaani N95 mask 800 kwa mkoa mzima wa dar es salaam? Disposable mask 400 kwa mkoa mzima? Au kuna kitu labda sijaelewa? Disposable gown size XL 50 kwa mkoa mzima? Disposable gown maana yake inatumika mara moja, ukishavua inatupwa. Sasa gown 50 kwa Dar? Disposable shoe cover 50 kwa Dar? Face...
  7. Ramthods

    Dalili kuu 7 zinazoonyesha mtu ambaye atachelewa sana kufanikiwa

    Kinachofurahisha zaidi, ukisoma comments za watu unaanza kuona baadhi ya mambo ambayo mleta uzi ameyataja. Watu ambao watachelewa kufanikipiwa ni pamoja na wale wasiopenda kukosolewa, ama kusikia/kuambiwa tofauti na mambo yanayoyaamini wao kuwa ndio sahihi. They are not "open minded".
  8. Ramthods

    Wizara ya Elimu iifuatilie Shule ya Fountain Gate Dodoma

    Aisee, hizi comments kwenye hii thread zinasikitisha. Watanzania tuonaonekana ni watu wakujiangalia sisi wenyewe. Bila shaka ndio maana hata kwenye maendeleo tupo nyuma. Ni kama vile aliyeleta mada amefanya makosa, au anaonekana ni mtu wa kulalamika. Mtoa mada ametimiza wajibu wake. Lazima tuwe...
  9. Ramthods

    Rugemalila aitaka Benki Kuu iwataje watu wote waliopata mgawo wa Escrow. Gavana asita, aomba ruhusa ya Mahakama awataje

    Vp nchi kama Rwnda, Burundi etc ambazo zinabadilisha katiba kukidhi matakwa ya wachache? Kama una katiba nzuri, itakufaa nini kama itabadilishwa kukidhi matakwa ya wachache? Me nadhani tatizo la nchi za Africa ni Waafrika wenyewe
  10. Ramthods

    Car4Sale Nauza Suzuki Escudo GF-TD02W - Manual

    Mkuu, hii so gari kwa ajili ya kila mtu, ni kwa ajili ya watu wanayoifahamu. Nimepokea offer kubwa kuliko hiyo 5m so far, but bado sijaridhika. Comments nyingi ni za watu wasiojua wanaodhani wanajua. Nitauza, tena kwa bei nzuri kwa mtu anaejua anataka nini
  11. Ramthods

    Car4Sale Nauza Suzuki Escudo GF-TD02W - Manual

    Boss, kuuza au kutouza yote ni majaliwa. Ila I am not throwing it away.
  12. Ramthods

    Car4Sale Nauza Suzuki Escudo GF-TD02W - Manual

    Wana JF, Kwenye viambatanisho, ni Suzuki Escudo 3 Doors inauzwa Hii ni gari yangu mwenyewe, mini sio dalali, mmiliki mmoja (mimi mwenyewe) imported from Japan Sept 2012. Nimenunua kwenye odometer ikiwa na 110,000km, now ni 210,000km (imetembea 100,000km ndani ya miaka 7 plus) Gari ni manual...
  13. Ramthods

    Car4Sale Toyota Hilux Double Cabini Inauzwa

    Toyota Hilux D/Cabin inauzwa. Ipo katika hali nzuri sana. Haina tatizo lolote. Imekua ikitumika kwa kazi za nyumbani. Body, engine, interior vyote vipo katika hali nzuri sana Details: Year of import: May 2002 Year of Manufacture: 1989 Engine: 3L Diesel, 2779cc Make/Model: Toyota/Hilux-D/Cabin...
  14. Ramthods

    Rwanda kuzindua Satellite itakayoziunganisha shule za vijijini Internet

    Sehemu kubwa hapo ni rockets, kwa ajili ya kuirusha na kuifikisha salelite kwenye orbit yake. Sateline ni sehem ndogo sana hapo.
  15. Ramthods

    Msaada: Kuondoa Harufu ya Sigara kwenye Gari

    Nimechek, sema suggested products ni mpaka niagize, hapa kwetu hazipatikani. Home remedies nimejaribu bila mafanikio mazuri
  16. Ramthods

    Msaada: Kuondoa Harufu ya Sigara kwenye Gari

    Manukato hayaondoi harufu, yana mask harufu.
  17. Ramthods

    Msaada: Kuondoa Harufu ya Sigara kwenye Gari

    Hello wana JF, Nimeagiza gari second hand toka Japan. Ni gari nzuri na inaonekana kutunzwa vizuri, isipokua mmiliki wake inaonekana alikua ni mvuta sigara sana. Kwa mwonekano, ndani ni safi sana, ingawa harufu ya sigara sijaweza kupata ufumbuzi wa kuitoa. Nimejaribu regular car wash, kutumia...
  18. Ramthods

    Nauza Suzuki Carry, Used 5.6m

    Sipo tena kwenye biashara ya furniture kwa sasa.
  19. Ramthods

    Nauza Suzuki Carry, Used 5.6m

    Asante boss kwa offer. Ipo chini sana
Back
Top Bottom