Search results

  1. J

    CAF Champions League

    tbc one wanaonyesha mechi hii
  2. J

    Msaada

    Naombeni mnifahamishe mda wa mwisho wa kulipia mtihani wa kidato cha nne kwa private candidate(pc) bila penalt kwani nasikia muda umeongezwa
  3. J

    Kasulu Kigoma nao wagomea mashine za TRA

    Maduka yote wilayani kasulu mkoani kigoma kuanzia asubuhi ya leo yamefungwa kisa wanagomea zile mashine za tra sijui huko uliko biashara zinaendelea?
  4. J

    Top 10 Smartphones That Rocked 2013

    vp hiyo tecno phantom A+ ilishafika bongo na kama ipo ni bei gani
  5. J

    Msaada

    Wana jamvi naomba mnifahamishe ni smartphone ipi ya tecno ambayo ipo kwenye chat kwa sasa hapa tanzania
  6. J

    Natafuta laptop ya kununua..

    Jamani toeni aoni
  7. J

    Lenovo P780: Smartphone yenye kukaa na chaji zaidi duniani

    vp hiyo simu bongo ipo na kama ipo inauzwa naduka gani?
  8. J

    Msaada

    Naomba msaada ntawezaje ku update status na mwisho ikajieleza sehemu niliko.mfao:joseph mboneko usiku mwema near kigoma tanzania
  9. J

    Best 20 Smart Phones

    me naomba kujua bei ya hiyo samsung s3 kwa dar
  10. J

    Best 20 Smart Phones

    me naomba unisaidie bei ya hiyo samsung s3
  11. J

    Naombeni msaada

    Wana jukwaa naombeni kujua bei ya samsung s3 kwani nimevutiwa sana na simu hii
  12. J

    Nini faida ya kuroot simu ya android

    Naomba na mimi kuelimishwa kama naweza kusikiliza redio kwa njia ya intert kwenye tecno p3
Back
Top Bottom