Search results

  1. B

    Steven Kanumba and John Mashaka

    kuna taarifa kuwa kinachomkuta kanumba ni kutokana na tabia yake mbaya aliyoifikia baada ya kupata umaarufu,wadau wake wa karibu wanasema kuwa jamaa amekuwa na nyodo ukimpigia simu ni lazima apokee kwa kizungu kila baaada ya neno moja la kiswahili anachanganya na umbombo sasa wanasema kuwa wengi...
  2. B

    Guninita sasa ni 'fomu wani'

    kwa sasa huyu jamaa inabidi afukuzwe kazi ya ukuu wa wilaya nijuavyo mimi kwa utaratibu mpay wa serikali bila kidato cha nne ajira hupati na kwa wale wafanyakazi ambao walikuwa na elimu yadarasa la saba waliambiwa wakajiendleze la sivyo nafasizao itafika wakati zitachuliwa na vijana wasomi...
  3. B

    Steven Kanumba and John Mashaka

    kweli lugha ni muhimu ila kumzodoa kanumba sio haki kwani humu katika wachangiajia wa jamii ni wangapia ambao mnaweza kuongea kiingereza fasaha? acheni mazingira yetu tuliyokulia ni ya lgha ya kisahili hivyo ni vyema tukaendelea kukienzi kiswahili kiingereza iwe ziada tatizo la wabongo wengi mtu...
  4. B

    Maswali kwa rais Kikwete na yatokanayo

    mi naona hakuna mtanzania aliyeuliza jipya zaidi ya maswali yale yale ambayo yanaulizwa kila siku bungeni na pia majibi yote yalishajibiwa bungeni natumai next time wataulizwa mswali ya matatizo yaliyoshindikana hicho ndicho tunachotakiwa kumuulizamheshimiwa siyo maswaliyaliyokwisha jibiwa...
  5. B

    hivi hii ya Ay kumpambanisha jay z,kanye west sio usanii?

    katika vitu vinavyonishangaza ni hii ya mwanamuziki wetu wa bongo fleva AY ambwene yesaya kupambanihswa na jay z na kanye west katika category moja ya tuzo za mtv africa. huu sasa ni usanii hivi inamuingia akilini mtu anayefahamu muziki au kazi alizozifanya jay z na kanye west kuzipambanisha...
  6. B

    Big Brother Africa 2009: The Revolution

    unajua haya mambo ya big brother ni kuzalilishana na kama unataka kujua we tafuta kwenye mtandao uone jinsi jamaa walivyozitundika picha za bwana richards za utupu utupu haya sio maadili ya mtanzania ila kwa kuwa tuna njaaa na twazibebea dhiki zetu kwenye mifuku ya lambo tuendelee tu kwenda...
  7. B

    kura tuzo za muziki

    JAYJAY;579380]mara nyingi waandaaji tuzo za muziki au star search wanashawishi wafuatiliaji kupiga kura mara nyingi wawezavyo ,hivi hii ndio namna bora ya kupata washindi,au ndio kibiashara zaidi kutengeneza mshiko. kwa kweli hii sio njia bora ya kupata washindi kazi ile ni ya kitaaluma hivyo...
  8. B

    Tupende, tusipende: Tanzania inanyemelewa na udini!

    mada kama za GT jamaa hana hoja ya msingi na hayo mambo yote tayari yana utaratibu wake si kwa ofisi wala shuleni na lazima ukubali mambo mengi tumeyakopi kwa watawala wa mwisho wa ukoloni sasa sisi dini zimechanganyika hivyo tumejenga utaratibu wetu. na kwa mujibu wa dini fulani inasema...
  9. B

    Nape nnauye kanunuliwa na mafisadi??

    kwa kweli upande fulani ni lazima viongozi wa dini wakemee ufisadi kwani wao ni walezi wa kiroho mpaka kwa hao viongozi ambao huwaheshimu sana hata bwana mkubwa akiambiwa shehe mkuu au baba askofu fulani anahitaji kuonana na wewe lazima ampe nafasi haraka sana,kijana katereza lakini tusimtenge...
  10. B

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    jamani masuala ya dini ni vitu nyeti sana,sijui naomba kuuliza hivi bila kadhi au kutokuwepo kwa kadhi kunaweza kumkwamisha muumini wa dini ya kiislamu kuiona pepo? sina ufahamu nalo hilo
  11. B

    Gazeti la Jambo Leo... Vituko vitupu!

    mkuuu nakuuunga mkono mia kwa mia sasa hivi kabakia kunihariri utafikiri yeye ni editor badala ya kunijibu hoja jamaa hafai kukaa humu analeta mada za majungu huyu vipi ohoo mtoto wa jakaya soa what!! utafikiri katumwa na mafisadi lete hoja za msingi group zima la kina ben nalijua hana hata data...
  12. B

    Gazeti la Jambo Leo... Vituko vitupu!

    sasa umeamua kuwa mhariri hizo ndizo hoja uzobakinazo (heri ya mjinga kuliko mpumbavu)
  13. B

    Gazeti la Jambo Leo... Vituko vitupu!

    unajua gt jambo usilolijua ni kama usiku wa giza hoja gazeti limeharibu? nini hata kama limeanzishwa kwa ajili ya uchaguzi cha muhimu linafuata sheria za habari pili we hujui jinsi waandishi wanavyonyanyasika katika media its high time kwa wao kujikusanya na kujaribu kumiliki vyombo vyao kila...
  14. B

    Loveness Love Diva Binti anayekuja juu

    unajua wenzetu nchi zilizoendelea wengi wa watu wa aina hii wanakua na faida katika jamii lakini hapa kwetu tusubiri skendo tuuuuuu za huyu karibu katika ulimwengu wa magazeti ya udaku maaana wengi waliyopo sasa awauzi kichwa kipya kama hiki huwafaa sana jamaa kwa jinsi nijuavyo mimi
  15. B

    *~Please**Mommy**Please~*

    namshukuru mungu kweli zambi ya kudinya nafanya kwani sijaoa ila natumia kondomu katika vitu ambavyo sivipendi ni kuona kuwa nampeleka mtu kutoa mimba!! da ssoo yaani ukiangalia hivyo vipicha soo sad!! lakini cha kushangaza kuwa kila rafiki yangu wa karibu niliyemuliza kuwa uliwahi kuwa...
  16. B

    Kilichoandikwa na MwanaHalisi dhidi ya Shamsa Mwangunga chatimia Bungeni

    some times mzee wa hoja ukikosa cha kuzungumza nyamza sasa angalia ulivyoumbuka bajeti imepita na waziri mama shamsa mwangunga amesema kuwa watu tisa walikamatwa kuhusiana na tukiao hilo na watafikishwa mahakamani na bado polisi wa inter pole na watu wa wizara ya maliasilia watafuatlia mzingo...
  17. B

    Barua ya Sakina ya kujiuzulu hii hapa

    mimi nachoweza kuwaambia wana jf kuwa huyu dada wala msiumize kichwa na ufupi wa barua yake kilichomkuta ni kati ya haya aidha kapigwa mkwara na mafisadi kuwa uko vitani na wewe? achana na huyo mzee mengi kama utaki haya.... endelea na my be kafuatwa kwenye familia yake na kuelezwa kuwa...
  18. B

    TEDET nayo ni kama DECI?

    mimi hawa jammaa nishawahi kuwasililiza good idea tatizo huyu msimamiz mkuu au mwenyekiti wazere wa mjini nilipowatajia hapo hapoa wakaniambia nymaza na ishia huyu mzee ni soo sasa kivipi kuniambia huyu mzee mwenzani ni soo sijui mwenyekiti wa teted ni haji muji shangwe sasa sjui wadau faili...
  19. B

    Barua ya Sakina ya kujiuzulu hii hapa

    mimi nachoweza kuwaambia huyu dada sakina ana mawili matatu hivi aidha kapigwa mkwara na mafisadi kwa kuelezwa tu na wewe uko vitani unamsaidia huyo bwana mengi? au kashauriwa na hao tena kwa kumfuata kwenye familia yake mwombeni mtoto wenu ajitoea kwa huyo jamaa kama kazi hata sisi twaweza...
  20. B

    Mbilia Bell kwishine!!!

    labda sijaeleweka sina maana kuwa watu wa bukoba,mtwara hawastahili burudani tena kubwa kubwa ila huyu mwana mama mbilia bell namwonea huruma kwani ukweli sasa hivi kafulia!! sasa ningekuwa naye karibu ningemtaadhalisha kuwa kwa kuwa sasa hivi yuko tayari kwenda kupafomu hata bukene au kaliua...
Back
Top Bottom