Search results

  1. Ngoniboysinai

    Hivi rafiki kakukopesha pesa utatue tatizo lako ghafla unamkuta kamtongoza mke wako je ? Utamlipa pesa yake?

    twendeni moja kwa moja katika jambo ,Kuna rafiki yangu alikua akiuguliwa na mke wake nae hakua na pesa ilimbidi amwone mshkaji amkope pesa akalipie matibabu , mke akapona na akaruhusiwa kutoka hospital akiwa mzima kabisa. Baada ya wiki moja jamaa angu akamlipa pesa nusu jamaa ambaye ni laki...
  2. Ngoniboysinai

    Nahitaji app itakayoniwezesha kutuma SMS nyingi kwa wakati mmoja

    Nahitaji app ambaeitaniwezesha kutuma SMS nyingi kwa wakati mmoja .
  3. Ngoniboysinai

    Tahadhari: Kuweni makini sana na wahudumu wa bank

    Poleni na kazi, Naomba nitoe angalizo kama kichwa cha habari hapo juu, Jana nilikwenda bank moja pale Lumumba kutoa pesa kwa ajili ya biashara zangu. Nilikuta foleni kubwa pale kutokana na umuhimu wa Pesa nilikomaa ktk foleni kama masaa mawili hivi na nikafanikiwa kuchukua Pesa kiasi cha 3.5m...
  4. Ngoniboysinai

    Jamani wachaga?

    Naoa mchaga na nimezaanae naomba ushauli kutoka kwa MziziMkavu nakuamini sana umenisaidia na naomba nisaidie kwa hili
  5. Ngoniboysinai

    Kizuri kula na nduguyo

    Jamani kizuri kula na ndugu yo, hakuna mtu asiependa pesa. So this is your chance to make money by doing a very simple task. Just click here and see guyz. GetPaid4Visits.com Earn 10$ for every 30 second Task. Internet Job
  6. Ngoniboysinai

    Nauza gari hii bei nafuu kabisaa

    Ipo vizuri kabisa .bei ni millioni nane na laki tano tu(mill 8.5 ) tu kwa maelezo zaidi my no .0684 60 41 39
  7. Ngoniboysinai

    Kama ingekua bongo hii hukumu ingekua ya haki?

    Mtoto wa generali wa jeshi nchini China amehukumiwa miaka kumi jela kwa kosa la ubakaji.Dogo ana umri wa miaka 17. Najiuliza ingekuwa bongo hukumu yake ingekuwa vipi kutokana na cheo che baba yake?
  8. Ngoniboysinai

    Ukubwa wa kitanda ni sababu mojawapo ya ndoa kuvunjika

    Utafiti umeonyesha baadhi ya vitu vilivyosababisha ndoa za babu zetu zidumu ilikuwa babu na bibi kulala pamoja kwenye vitanda, ngozi za wanyama au mikeka yenye ukubwa usiozidi futi 2.5. Umbali wa futi 2.5 uliwawezesha wanandoa kuwa pamoja na kugusana usiku kucha. Hii iliwalazimisha waongee...
  9. Ngoniboysinai

    Nauza friji

    Friji lina compresa mbili kubwa bei nafuu laki tatu na themanini(380000).lipo dar es saalam .mawasiliano 0684 60 41 39
  10. Ngoniboysinai

    Chid benz kaacha kutumia unga a.k.a poda

    Leo ni siku ambayo mwanamuziki wa hip hop chid benz baada ya kukataa kutumia madawa ya kulevya hatimae leo kasema ameacha.swali ni je vita zidi ya madawa ya kulevya itawezekana?
Back
Top Bottom