Ngoniboysinai
JF-Expert Member
- Aug 6, 2013
- 590
- 482
Mkuu ungeweka sifa za hiyo simu pamoja na bei ili tuione hiyo nafuu ilipo.
hiyo bei ndo unasema nafuu teh teh biashara njema kaka
Imetumika muda gani?kwanini unaiuza? Your contacts??
Laki tatu na nusu nicheki.