Nauza friji

Nauza friji

Ngoniboysinai

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2013
Posts
590
Reaction score
482
Friji lina compresa mbili kubwa bei nafuu laki tatu na themanini(380000).lipo dar es saalam .mawasiliano 0684 60 41 39
 
Data bado hazitoshi. Weka size ya refrigerator, refrigerating capacity, n.k. Pia mnunuzi angependa kujua liko katika hali gani kabla ya kununua.

Picha ingepunguza maswali mengi sana.

Halafu tueleze kabisa linatumia refrigerant type gani, maana R22 sasa hivi haitakiwi kabisa duniani kwa sababu ya uharibifu wa mazingira hasa kutoboa Ozone layer. Mbadala wake ni R134a which is environmental friendly.
 
Back
Top Bottom