Search results

  1. Topintz

    Tunashabikia UEFA Champions League lakini pesa anayolipwa bingwa wa EPL ni kubwa zaidi

    Hii habari ni ya zamani itakua ume copy paste sehemu, chelsea ni bingwa wa msimu uliopita. Ongelea hela atakayopata Man City msimu huu.
  2. Topintz

    How your home screen looklike

    Nah! Haipo active. Ni kama tumekutana wote tupo busy na maisha. Mtu anaeza request troops leo ukaja keshokutwa ukakuta request yake bado ipo. Labda kapewa troops 5/20. Clan haipo active kabisa.
  3. Topintz

    How your home screen looklike

    [emoji1][emoji1][emoji1] hatari mkuu
  4. Topintz

    How your home screen looklike

    Townhall 9 Level 87 mkuu. Nimekwama hapo kitambo nimepunguza kuicheza, huku mbele inazidi kuwa ngumu ku loot(opponents are tough). Inanipa uvivu maana sina muda na majukumu ni mengi[emoji28]
  5. Topintz

    Ushauri wakati unanunua flat screen Tv's

    Mwenye tv flat 32” used. Budget yangu 350-400k kulingana na brand na condition. Kma unayo njoo PM. Location; Uwe arusha.
  6. Topintz

    Nina 8M nahitaji Toyota Allex, RunX au IST

    Check your PM.
  7. Topintz

    Jinsi ya kuandika namba katika hali ya sehemu (eg: 2⅓ + 3¾) bila kutumia app

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatari sana.
  8. Topintz

    DAR: Ofisi za IMMMA Advocates zawaka moto!

    Tuulize au waulize wanaoishi upanga. Huo mlipuko tumeusikia usiku na wengi wetu tumeamka. Sasa kama unataka kutuaminisha ilikua baruti sawa. Na transformers kila siku zinalipuka huku tushazizoea. Sasa cjui utasema ni nini?
  9. Topintz

    Tundu Lissu: Aliyevunja Mkataba wa ESCEL ni rais Magufuli

    Unamsaidiaje asiyetaka kusaidiwa? TL akiongea wanamwita mchochezi. Atleast enzi za JK wapinzani wakilipua bomu utaona serikali inafix au JK anawaalika ikulu kabisa wanasaidiana kusolve issues nchi itulie. Kufichua hiyo siri ya Bombardier tu ni msaada, or else zingelipwa hayo mahela bila wananchi...
  10. Topintz

    Arusha yaongoza Tanzania kwa kuwa na hotel nyingi za nyota 5

    Mkuu ungezilist hizo hotel hapa ungekua umefanya jambo zuri sana. Maana hapo kama taarifa yako haijatimia
  11. Topintz

    Ukweli: Umaarufu wa Mtoto wa Diamond ( Tiffah) Umeporomoka

    Sasa kipind kile ndo alikua kazaliwa, alikua na moto nae. Mtoto wake wa kwanza. Sasa ulitaka brand yake iendelee na moto ule ule wakat katoto hakajui hata kuongea vzur?. Hata Asahd wa Dj Khaleed itafika wakat mtamwona wa kawaida tu. Hakunaga kiki za milele
  12. Topintz

    Serikali yaleta wataalamu kutoka China kudhibiti mitandao ya kijamii kama YouTube, Facebook

    Cocochanel na wanalumumba wengn njoen mtetee serikali yetu pendwa.
  13. Topintz

    Tabora: Yaliyojiri kutoka viwanja vya Ali Hassan Mwinyi, Rais Magufuli ahutubia Wananchi

    Ukiquestion unaitwa mchochezi, bora ukae kimya. Hata maneno tu anayoongeaga kwenye hizo ziara naonaga ni siasa tu za kuwaponda wapinzan ila wakiongea wao ni uchochezi. Ngoja waje wa jengo la kijani kutetea, maana wanatetea kila kitu. Sema ukweli wanao mioyoni mwao kwamba hali si shwari.
  14. Topintz

    Sukari Tsh 4000 watu kimyaaa

    sukar haina mchango kwenye ujenzi wa viwanda, ngoja tukimalizana na Lissu tutasikiliza hoja yako.
  15. Topintz

    William Ngeleja arejesha fedha za mgao wa Escrow kiasi cha Tsh Milioni 40.4

    Jumatatu imeanza na drama mpya. Hii nchi[emoji1430]. Kila wiki ina tukio lake kama isidingo. Nasubiri za Chenge na Tibaijuka[emoji1448].
  16. Topintz

    sikukuu ya Idd Kitaifa Inafanyikia Kilimanjaro! Xmass Kitaifa Itafanyikia Mkoa Gani?

    We naona una lako jambo unataka kuliibua hapa. Leo tarehe 25 june unaulizia Misa ya Xmas december 25th itafanyika wapi? Unataka ukalipue kanisa nini? Hiyo ya kesho tarehe 26 imetangazwa jana cjui leo.
  17. Topintz

    Mwanajeshi wa Korea Kaskazini ahamia K. Kusini kwa kuogelea

    Mmh! Sio spy huyo[emoji28]. Ukute uduku kashatuma spy akawachunguze south korea
  18. Topintz

    Swali: Smelter ya Makinikia itazuia kusafirisha madini nje ya nchi?

    Mikataba ndo ishu maana hata hyo smelter cdhan kma itaweza kuchenjua kwa kukidhi mahitaji. Lzm kuna mengne yatasafirishwa, system ya capitalism ni exploitative na hata tufanyeje lzma tunyonywe. Cha muhimu tufix mikataba na sisi tugain. Mbona wenzetu SA,Ghana yanasafirishwa lkn nchi inafaidika?
Back
Top Bottom