Search results

  1. Pua ya zege

    Msaada kujua title ya movie hii

    Kuna movie niliangalia miaka mingi kidogo kama 25 iliyopita kuna kijana alimchumbia mwanamke aliyekuwa na uhusiano na baba yake nafikiri yule mchumba wake alikuwa anafanya kazi ofisi ambayo baba yake huyo kijana alikuwa akifanya. Sasa mwisho wa siku kuna watu walimlengesha yule kijana bila...
  2. Pua ya zege

    Salam za mwaka mpya kwa tra mkoa dodoma

    Yapo maduka hapo dodoma yanajiita general supply ukichunguza kiundani hizo ni benki bubu hazilipi kodi nendeni mkakusanye kodi tena za miaka mingi tumuunge mkono mh rais wetu wa jamhuri ya muungano wa tanzania mh magufuri,kwa kumuunga mkono mr president nitawaelekeza duka moja linaitwa NEW...
  3. Pua ya zege

    Halmashauri ya Mpwapwa tafadhari rudisheni pesa za kijiji cha mtera haraka sana

    mkurugenzi Wilaya ya Mpwapwa ss wanakijiji Mtera tumepewa taalifa na mtendaji kata pamoja na wajumbe kuwa mmechukua fedha zetu zaid yashmil25 kuwalipa watendaji tuko kwenye mchakato wa kwenda ikulu kuwashitaki kwa mh rais maana mmezoea nyinyi tumewachoka na tutaanika hujuma zenu zote.
  4. Pua ya zege

    IGP Mwema: Udhalilishwaji wa askari polisi huyu haukubaliki

    mnamo tar23.10.2013 muda wa saa tatu usiku askari 5 akiwemo ocs wa kituo cha hapa mtera walivamia nyumba mzee kuziganika walimkuta kalala nje na wajukuu zake,mkewe akiwa bafuni na binti yake ambaye ni mke wa askari huyo alikuwa amelala ndani mtoto mchanga,askar wale walianza kumpiga yule mzee...
  5. Pua ya zege

    Dc mpwapwa

    Mh mkuu wa wilaya ya mpwapwa sisi wananchi wa mtera tunakuomba ufanye uchunguzi kwani juzi umetokea wizi wa mahindi ya msaada wa njaa zaidi ya tani moja mbinu ya wizi ilikuwa kama ifuatavyo,kwa maelezo ya mtendaji wa kijiji kuwa kuna gunia 103 za mahindi zilikuja mtera kwa bahati mbaya hivyo...
Back
Top Bottom