Pua ya zege
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 1,941
- 2,080
Yapo maduka hapo dodoma yanajiita general supply ukichunguza kiundani hizo ni benki bubu hazilipi kodi nendeni mkakusanye kodi tena za miaka mingi tumuunge mkono mh rais wetu wa jamhuri ya muungano wa tanzania mh magufuri,kwa kumuunga mkono mr president nitawaelekeza duka moja linaitwa NEW ZANZIBAR GENERAl SUPPLY hawa ndugu wanabenki bubu ndani ya duka lao ila wanakupa masharti kwamba kama tra watatokea ghafra na kuhoji useme umekopeshwa chombo mfano tv meza nk lakini kiukweli wanakopesha fedha kwa riba kubwa mno