Search results

  1. L

    Vitu ambavyo vingefanyika kama Mungu angekuwepo kweli

    Fuatilia sayansi. Hakuna kitu kama mapepo
  2. L

    Vitu ambavyo vingefanyika kama Mungu angekuwepo kweli

    Mimi siamini kama kuna mungu kwa sababu moja tu, Nayo ni kwamba wale wanaodai kuwa mungu yupo wameshindwa kuthibitisha madai yao. Nimeshawaendea marafiki wengi wanithibitishie, lakini nikaishia kupewa vitisho, kwamba usipoamini utachomwa we amini tu. Wengine wamesema jambo baya litakupata...
  3. L

    Vitu ambavyo vingefanyika kama Mungu angekuwepo kweli

    All the kings men and all the kings horses couldn't put humpty dumpty back together again that's because there is no humpty dumpty and there is no god. None, not one, never was, no god George Carlin.
  4. L

    Girlfriend wangu kanitumia hela bila kumuomba

    Ucjar izo nahic umekopeshwa zitarudi mkioana
  5. L

    Jamani eti naye anataka kunizalia mtoto

    Muulize mkeo, akiridhia nawewe ndo umjaze mimba tena mapacha maana ye c ndo ametaka bwana!
  6. L

    Nauza Mayai ya kuku 'chotara'

    Niko Mtwara nitayapataje
  7. L

    Kamanda John D. Pallangyo kusimikwa kesho Arumeru Mashariki

    Ccm ilishakufa huko hee mbona waota mchana kijana mwenzetu? Amkia dili ni chadema tuuu
  8. L

    Ana ujauzito wa mwingine na anataka tuoane

    Mwanamke ni huyo tuu duniani?
  9. L

    I am looking for a single parent to marry me

    Madada zetu wanapenda hela sana ndio maana wanachukuliwa na wastaafu. Kitu brand new kinajaa kwa second hand hahaaaaaaa!!
  10. L

    Mwanandoa alazimishwa kuzama chumvini, ni sahihi?

    Ebstein bar virus anahusika APA. Vigelegele CIO vizur acheni
  11. L

    Mwanandoa alazimishwa kuzama chumvini, ni sahihi?

    Hakyamungu mapenzi no utumwa na dunia haijakaribia Keisha Bali ndo kwaaaanza inaanza. Mi vigelegele sipigi hata wanipe nn. Ni maradhi na mikansa na kufupisha maisha....
  12. L

    Smartphone original

    wadau kumekua na maduka mengi yanauza smartphone ambazo sio original. naomba nielezwe ni wapi ntapata original
  13. L

    Asilimia kubwa ya wendawazimu huwa ni wanaume, ni kwanini iwe hivyo?

    magonjwa ya akili yanawapata watu wanaofikiri sana na wenye msongo wa mawazo. kwa bahati nzuri kutokana na majukumu yetu kijamii wanaume wengi tunaangukia kwenye kundi hili.
  14. L

    Msaada: Mtoto wangu ana hasira sana

    nenda kaonane na daktari wa magonjwa ya akili kwa watoto, mwanao inaelekea ana tatizo. serious mkuu maana kwa hasira hizi ukipata mtoto mwingine si utakuta keshamchoma kisu cha tumboni? achana na ushauri wa kienyeji mara mapepo mara nini. sisi waafrika tuliweka mbele sana imani za kishirikina...
  15. L

    Naombeni ushauri

    kwanza nimpongeze huyo dada kwa ustaarabu alionao. kwakua anashida na kakufuata vizuri kukueleza ila sema wewe sio msaidiaji ila ni mchoyo. sasa uchoyo wa namna hiyo siyo mzuri kumbuka kwamba yule ashawahi kua mpz wako so hakuna kinachoharibika. halafu leo kwake kesho kwako kumbuka na wewe...
  16. L

    Simuelewi mpenzi wangu huyu

    mkuu apo muddy ameacha password a.k.a. nywila. sasa hapo huwezi kabisa labda mtafute muddy kama amemchoka ndo akupe password lakini vinginevyo muachie muddy kazi yake!
  17. L

    Mwanaume mwenzangu, usije ukamwamini mke wako hata siku moja

    inategemea mke wa aina gani umeoa sababu wako wanawake wa aina nyingi. kama mkeo hajielewi kamwe usimshirikishe jambo ila washirikishe wazazi na watoto, (lakini pole maana kosa ulilifanya kwenye kuchagua mke) ila kama mkeo anajielewa basi mshirikishe yeye pekeake mambo yako na si mtu mwingine...
Back
Top Bottom