Search results

  1. S

    ~**~ kumbatio la mwenye makosa ~**~

    Mapenzi + siasa = ????
  2. S

    Elections 2010 Uharibifu huu wa rasilimali za umma ni kwa faida ya nani?

    HABARINI WANA JAMVI? Katika mishemishe zangu nimepitia maeneo ya Mbezi Beach baada ya kipindi kirefu. mara ya mwisho ilikuwa mwaka 2005 kipindi cha karibu na uchaguzi mkuu. Mwaka ule 2005 nilikuta eneo ambalo kwa miaka mingi lilikuwa wazi likikaliwa na jamii ya Kihindi, jamii ambayo...
  3. S

    Mapenzi ya facebook!

    Inategemea wewe unatafsiri vipi. Kuna namna na sehemu mbalimbali za watu kukutana.Facebook na mitandao mingine ni njia mojawapo.Wewe unayetongoza huyu mwanamke basi ndio kicheche zaidi kama tafsiri ya kicheche kwako ndio hiyo!
  4. S

    Umoja house experience!

    Mkuu Asante kwa ushauri wako.Napenda kukuhakikishia kabisa kuwa nilifanya online application na nika submit maombi yangu na viambatanisho husika.Nikaonyesha tarehe ninayotaka kusafiri, wakaniambia nitaweza kupata viza kwa wakati ijapokuwa siku niliyopanga kusafiri ndio siku walisema passport...
  5. S

    Historia ya baada ya Uhuru Tanzania iko vipi?

    MTM Huenda EAF ni fursa ila tuwe mbele kufanya yatupasayo. Ni sisi wenyewe tutakaokaa kiti cha dereva na kuendesha gari letu kuelekea kule tunakotaka.Tukiendeshwa tutarajie kupelekwa kwingine tusikotaka.
  6. S

    Umoja house experience!

    Julius una point kabisa halina ubishi.Huwezi kulazimisha kwenda kwa watu.Lakini unasahau kitu kimoja - hapa hakuna anayelialia... bali tunatoa maoni yetu kwa tatizo ambalo lipo.Hapa kuna watu wana sababu za msingi kutaka kwenda nchi fulani na kushindwa kwao kwenda hakutokani na kitu kingine bali...
  7. S

    Umoja house experience!

    Unajua Mkuu, malalamiko yanayotolewa kwa njia ya alternative/new media huwa na faida ya kupata maoni mengi zaidi kuliko kuandika barua ya mtu mmoja kuipeleka ubalozini.Nina uhakika kabisa kuwa kila ubalozi unakuwa na mtu wa media ambaye kazi yake ni kuangalia yasemwayo na eneo mojawapo nijualo...
  8. S

    Umoja house experience!

    Injinia... hujakosea - kweli mkaka bonge anaonekana ana utu kuliko wadada wale.Lakini nadhani tatizo liko kwenye mfumo zaidi kuliko watendaji.Ninachokiona tatizo ni kule kutokujali kuwa watu wa nchi maskini wanapoteza pesa kwa sababu zisizo za msingi.Vetting ya application ilipaswa kufanyika DSM...
  9. S

    Umoja house experience!

    Wadau wa Umoja House salaam! Nimeona nisilifumbie macho suala hili maana linaharibu uzuri wa Mjengo mzima na kitendekacho humo ndani. Awali ya yote napenda kuzipongeza balozi za Uingereza, Uholanzi na Ujerumani kwa kujipanga vizuri na kushirikiana kuweka jengo zuri, safi na la kisasa ili...
  10. S

    Ni zipi dalili za kujua mwenzi wako kuwa anacheat!!!

    Kuongeza mahaba na kukupa kila ukitakacho! Wengi hii sijui kama wanaijua.
  11. S

    MZUNGU ana access ya siri za serikali

    JF kwa umbeya! Hii ndio ikampa accreditation?
  12. S

    Mwanamke Mume mmoja,Mwanaume Wake wengi!

    Mahusiano ya sasa huwezi kulinganisha na miaka iliyopita kama ulivyosema.Maisha ya zamani yalizungukia kuzaa na kulea watoto kipindi chote cha maisha ya mwanamke.Miaka hii mwanamke hazai sana kama zamani na kwa msingi huu mahitaji yake ya kimapenzi ni makubwa kama yalivyo ya mwanaume.Naunga...
  13. S

    Tanzania to get $111 mln for malaria fight - U.N.

    Kuna mafanikio gani katika kupambana na malaria Tanzania wakati takwimu zinaonyesha kabisa ukubwa wa tatizo? Naomba kuelimishwa.
  14. S

    Vunja jungu wakati tunakaribia mfungo wa ramadhani!!!!!!!

    BAKWATA itaingiaje kati mambo ya kidunia - kumbuka hii ni biashara na wenye biashara za starehe hawana budi kuvuna. Kazi iko kwa waumini kuelewa kuwa hicho wanachokifanya cha kumalizia kutenda dhambi hakiwezi kuonwa kama maandalizi sahihi kwa mwezi wa toba.
  15. S

    New on JF

    Hi Guys!!! Am I invited?? Star
Back
Top Bottom