Search results

  1. N

    LG TV Inauzwa Bei Poa

    Salaam wadau...nauza TV aina ya lg nilikua natumia ofisini sasa ninahama.Ni LG ya silver inch 50.haina ratio lolote ila remote nilimisplace.Bei ni laki 670.Kwa mawasiliano 0689900000
  2. N

    Secretary anahitajika

    Wadau Ofisi ya sheria ndio inaanza kazi inahitaji secretary wa ofisi. Ofisi ni ya sheria na ipo Dar.Ajue kuchapa na basic computer knowledge na apllications pamoja na office set set up na usafi wake. Kwa maelezo zaidi tuchekiane kwa namba 0659300000. Asanteni.
  3. N

    Mfanyakazi Anahitajika

    Salaam wadau...ninatafuta Mfanyakazi wa Shamba la Mifugo.Lamsingi awe na elimu ya Mifugo hata certificate pia na uzoefu hasa wa kuku na magonjwa yao na Nguruwe pia.Ntashukuru kama kuna mtu anajua mtu huyo. Mawasiliano ni 0763300000.Asanteni
  4. N

    Natafuta Mfanyakazi wa shamba

    Salaam wadau...natafuta kijani wa kusaidia kufanya kazi za shamba la mifugo...Awe kijani mwenye tabia njema na nguvu na pia mwenye kujua 2 3 juu ya ufugaji.Shamba lipo Morogoro...kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwa namba 0689900000
  5. N

    Natafuta Vifaranga wa Kambale

    Hello..naombeni msaada kwa yoyote mwenye kuuza au kujua naweza pata wapi vifaranga wa kambale nahitaji...mawasiliano 0659300000
  6. N

    Nahitaji Lawyer

    Hello wadau. Nimefungua firm na nahitaji Lawyer wakusaidiana nae kazi Kama kuna lawyer anatafuta kazi pls tuwasiliane via email hii ndaha2000@gmail.com
  7. N

    Nahitaji Vifaranga Chotara

    Wadau nahitaji vifaranga vya chotara 200....nina budget ya 1500 kwa kila kimoja.Kwa mawasiliano namba ni 0659300000.Asanteni
  8. N

    Natafuta Vifaranga wa Samaki

    Salaam wadau...natafuta vifaranga aina ya sato wasiozaa yaani mono sex na vifaranga wa kambare.Yoyote mwente navyo au anaejua pakuvipata pls naomba msaada. Mawasiliano yangu ni 0689900000
  9. N

    Nauza Bata Bukini na Mzinga bei Poa

    Salaam wadau....nauza bata bukini jike na dume wa miezi 4 kwa laki 2 wote na Bata Mzinga dume wakubwa kabisa kwa elf 80 kila mmoja.Wako Morogoro Mjini. Contacts 0689900000.
  10. N

    Mfanyakazi wa Ranch anahitajika

    Salaam wadau...natafuta mfanyakazi katika ranchi ndogo ya mifugo, Mifugo iliyopo ni kuku, Mbuzi,Nguruwe na samaki.Ranchi ipo Morogoro mjini. Vigezo ni kama ifuatavyo: 1.Awe na umri usiozidi miaka 35 2.Awe na uzoefu wa ufugaji hasa wa kuku aina zote 3.Awe mchapakazi na msikivu 4.Awe na uwezo wa...
  11. N

    Friji bei poa

    Salaam wadau...nauza friji yangu used kama ifuatayvo: Make ni LG,Rangi ya silver,inasehemu ya juu ya barafu na chini ya kawaida.Bei ni laki 2 tu.Ipo Dar.Mawasiliano 0689900000
  12. N

    Samsung TV Bei Poa

    Wadau salaam..nauza Samsung Tv 51 na 40 inches kama ifuatavyo na kwa bei poa sana... 1.Samsung 51 inches plastic display(pdp) series 4 mpya kwenye box ambazo ni ultra slim kabisa bei ni 1.5m 2.Samsung 40 inches led series 5..bei ni laki 9 tu Karibuni na kwa mawasiliano namba 0689900000.Karibuni
  13. N

    Kiwanja Kikubwa Morogoro

    Salaam..nauza kiwanja hapa Morogoro maeneo ya Kiyegeya B..kama mita 1000 tokea barabara ya lami ya mizani.Kiwanja kinaukubwa wa Ekari 5
  14. N

    Kiwanja Kikubwa Morogoro

    Wadau salaam..nauza kiwanja hapa Morogoro..sehemu inaitwa Kiyegeya B mkabala na mizani ya njia kuu ya dodoma.Kinaukubwa wa ekari 5 na kimepimwa.Bei ni Mil 40 tu.Karibuni
  15. N

    Njiwa aina ya Fantails wanauzwa

    Wadau salaam..ninauza njiwa wangu aina ya fantail au tausi.Ninauza kwa pair yaani jike na dume.Bei ni 200000 kwa pair..Karibuni
  16. N

    Nyumba Inapangishwa Morogoro

    Wadau napangisha nyumba ipo Morogoro ambayo inavitu vyote ndani kama TV,AC,Friji kubwa,Security Cameras,Vitanda,Majiko,Vyombo.Nyumba ipo Forest Hill Morogoro na bei ni maelewano.Karibuni kwa mawasiliano zaidi PM or text no 0659300000
  17. N

    Natafuta Mashudu,Dagaa na Soya kwa Jumla

    Wadau salaam...Kama kuna mtu anaweza kunisupply mashudu ya pamba na alizeti,Pumba za mahindi na mpunga,Mifupa iliyosagwa,Damu iliyokausha na dagaa wazima pls tuwasiliane kwa maelewano zaidi.NI PM au nisms kwa namba 0712550000
  18. N

    Offer Offer TV&Home theatre

    Wadau salaam...nauza TV plasma LG 46 na Panasonic Home theatre vimetumika kidogo lakini kama vipya vyote kwa 1.2m.Nitext nikutumie picha 0659300000
  19. N

    Nauza Mifugo Hii

    Wadau salaam..nina shamba la mifugo Morogoro na nimeamua kupunguza mifugo ifuatayo: 1.Bata Mzinga Wakubwa madume @ 90000 2.Bata aina ya Peking wakubwa @ 80000 3.Kanga @ 20000 4.Majogoo machotara @ 20000 Karibuni sana..kwa mawasiliano pls text 0659300000
  20. N

    Nyumba Inapangishwa Morogoro

    Wadau salaam..Napangisha nyumba ipo Morogoro maeneno ya Forest Hill,Ni nyumba na servant quarter.Ina vyumba 4,Ukuta,Mini bar,Garden kubwa na ina vyombo vyote kama air conditions sebuleni na vyumbani,Security cameras,Plasma TV,Home thatre,Friji 2 kubwa,Micro wave,Jiko la gesi,Meza ya...
Back
Top Bottom