Njiwa aina ya Fantails wanauzwa

Njiwa aina ya Fantails wanauzwa

ndaha

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2013
Posts
347
Reaction score
49
Wadau salaam..ninauza njiwa wangu aina ya fantail au tausi.Ninauza kwa pair yaani jike na dume.Bei ni 200000 kwa pair..Karibuni
 
tausi unauzaje? picha ziko wapi? wana vibali?
 
duh mifugo wana gharama balaa watakua wanataga gold manake laki mbili duh
 
Wadau salaam..ninauza njiwa wangu aina ya fantail au tausi.Ninauza kwa pair yaani jike na dume.Bei ni 200000 kwa pair..Karibuni

Naomba kufanya marekebisho, atakuwa anauza pair ya bata mzinga.
 
Najua inashangaza lakini njiwa huwa tunanunua mpaka laki 7 wapo...ngoja niupload pics
 
so tausi ni aina ya njiwa?sio unauza tausi ndege?
 
Itabidi kuwafugia sebuleni maanake wakipeperuka utakuwa unasali wasikosee bati wakati wa kutua....
 
sasa mbona sijibiwi? na nimeomba picha sasa sijibiwi pia...
 
sasa mbona sijibiwi? na nimeomba picha sasa sijibiwi pia...

th


Fantail Pigeons for Sale, Beautiful Fantail Pigeons, Black Fantail Pigeons for Sale, White Fantail Pigeons for Sale | Fantail Pigeons | Chicks and Game Birds from Stromberg's |


Na hapo juu wanauzwa kwa kuanzia 50usd kwa mmoja na hapo usafiri wamesema unaanzia usd 75 hivyo basi mdau asking price yako ni within reason
 
Back
Top Bottom