Wadau salaam...Kama kuna mtu anaweza kunisupply mashudu ya pamba na alizeti,Pumba za mahindi na mpunga,Mifupa iliyosagwa,Damu iliyokausha na dagaa wazima pls tuwasiliane kwa maelewano zaidi.NI PM au nisms kwa namba 0712550000

Ndugu yangu weka details kamili zinazojitosheleza ili watu waweze kukuelewa, weka anwani kamili, mahitaji yako kwa siku au week na ungependa kiasi gani, possibly weka bei yako unayochukulia na sio kitangazo mbuzi hapa, mambo ya ujanja ujanja unaonekana zuzu furani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.