Salaam wadau...nauza friji yangu used kama ifuatayvo:
Make ni LG,Rangi ya silver,inasehemu ya juu ya barafu na chini ya kawaida.Bei ni laki 2 tu.Ipo Dar.Mawasiliano 0689900000
ipo in use kwa muda gani toka itoke shop au na wewe ulichukua second hand?
naomba ufafanuz.
Nashukuru sana ndugu kwa kuniuzia friji sahivi nipo naifanyia usafi
WADAU Nami Nauza used friji laki mbili na nusu liko vizuri kabisa..
* Lina sehemu mbili chini linagandisha juu kuhifadhia
* Rangi ya Nyeupe
* Ni kubwa kwa hilo la jamaa
* Nipo Dar kijitonyama
* Lina mwezi wa pili sasa toka nichukue kariakoo
* Bei nafuu kabisa 250,000/-
* Ninaliuza ninashida ya kulipa kodi ya nyumba kwa
kwa sababu ya shida....
KARIBUNI TUWASILIANE PM....[/
QUOTE]
Weka picha