Nyumba Inapangishwa Morogoro

Nyumba Inapangishwa Morogoro

ndaha

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2013
Posts
347
Reaction score
49
Wadau salaam..Napangisha nyumba ipo Morogoro maeneno ya Forest Hill,Ni nyumba na servant quarter.Ina vyumba 4,Ukuta,Mini bar,Garden kubwa na ina vyombo vyote kama air conditions sebuleni na vyumbani,Security cameras,Plasma TV,Home thatre,Friji 2 kubwa,Micro wave,Jiko la gesi,Meza ya kulia,Sofa,Vitanda na vyombo.Karibuni sana.No 0712550000
 
bila kusema bei bado sana, siku hizi watu wanaweka wazi kila kitu!
 
wewe kama una shida ya nyumba umewekewa no. hiyo hapo...!!!
uwazi unao utaka ni upi..!!!!
hamna kitu kwako.....
lakini kwa wenzako wanahitaji..
so sio lazima tuone comments yako..!!!
utajuaje pengine bei ni maelewano..!!!
eti siku siku hizi..'' zipi..?!!!!
 
hahaha,vipi mbona umepanick wakati sijaongea na wewe?!!!...au siku hizi umepata id ya pili nn? halafu siyo lazima muone comments zangu wewe na nani? btw, asilimia 90 ya matangazo yako wewe unawekaga bei, na ulishawahi kunipangishia nyumba moja kwa ajili ya ndugu yangu sina tatizo na wewe! unajua kuna madalali wengi registered ambao wanalipa kodi serikalini na wana website zao unachagua nyumba unaona na picha na bei iko pale unajipimia mwenyewe ukivutiwa anakupeleka kuona, maelewano kati ya mteja na dalali hayapo, yapo maelewano kati ya mwenye nyumba na mteja tu. samahani kama nimekuudhi mwalimu punguza munkari siku hizi biashara huria ukizubaa utalala na njaa!
 
huuuuh.. haya bwana...
 
Back
Top Bottom