hey wa-america majina ya kati ni majina yao siyo majina ya baba zao kwa mfano hilary ni jina lake na rodham ni jina lake.ndo wako hivyo nimezaa na mmarekani nikajua ntampa mwanangu jina langu la kati akaniambia jina ataro pata ni sir name tu na hayo mengine yote ni yake mwenyewe sijui kama uminipata
Nilikuwa na dk mujuni mutabuzi wakati tuko o-level forodhani sec school alikuwa na akili sana darasani na alikuwa mcheshi sana na mwenye masihara lakini ana adabu nzuri kwa watu wote mungu ailaze roho yake mahari pema peponi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.