Those white streaks planes leave behind are actually artificial clouds. They're called contrails, which is a shortened version of the phrase “condensation trail." Airplane engines produce exhaust, just like car engines do. As hot exhaust gases escape from a plane, the water vapor in the fumes...
Kwa wale wanaopenda kuwa web developer/design pateni ideas on how to kick start your career in web designing.Becoming A Web Developer/Designer | hv-designs. Pia tembelea website yote hapa. Adobe Photoshop tutorials, from beginner to advanced | HV-DESIGNS.CO.UK. kuona/kupata tutorials mbalimbali.
nafikiri itakuwa best kama dada yangu utatengeneze website yako (kama bado) na kuwa na sample sites kama mbili tatu ili watu waone creativity yako, kuna free web hosting kibao tu just google, web designning is not all about coding its about how well you can present your ideas, watu tukitembelea...
kwa wale ambao hawajasikia basi link hii hapa [URL="http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/sinema-ya-askari-aliyejiua"] ;
mimi nimeisoma tu, kama habari si za kweli basi naomba samahani lakini grobal publisher ndio watakuwa wamenipotosha
Hello all
Natumaini kwa namna mmoja ama nyingine umesikia kilichotokea huko Arusha hivi karibuni, kama bado basi habari ni kwamba polisi mmoja wa kike amejipiga risasi kisa kakoromewa na maofisa wa usalama wa taifa baada ya kukosea kuongoza msafara wa mweshimiwa Rais.
Swali ninalojiuliza ni...
hello
unasema ulijaribu kui run kwenye safe mode ikafanya vizuri ni sababu safe mode runs on basic apps only. kama una xp windows CD then boot ur from cd-rom with ur cd in and on blue screen select R to recover your system then it will take you on command prompt black screen,niambie kama unaiyo...
asante mtazamaji pamoja na msaada umenifanya nicheke kidogo et mama ubao kweli wewe mtaalamu wa lugha anyway nitao cpu nione kama mama ubao mzima thanks
Hi Mtazamaji
nimekupata nahuhakika nimeinstal kwenye right port tower is HP Pavilion model t741.uk,nina cd ya OS lakini tatizo ni image on the screen.hivyo siwezi fanya lolote
Hi de javu
Nimekupata ndugu nimejaribu kuitest mother board kwa kuremove hard and memory kuona kama itabeep lakini no beep na on board fan inawaka,sijui motherboard ndiyo kimeo tower ni HP Pavilion model t741.uk, naomba ushauri kuhusu njia nyingine ya kutest motherboard kama hiyo niliyofanya...
Hello wadau
Nimepata PC tower ambayo nafikiri jamaa alikuwa anaitumia kwa Games maana weka graphic card ku enhance pictures.Tatizo ni kuwa nimejaribu kuiwasha hakuna image sent to the screen,nikaitoa graphic card na kujaribu on board graphic card no image na power inakuwa inakata every second...
nafikiri viongozi wote wa upinzani wangepigiwa kura na wachagua mmoja wa kugombea na kikwete kila mtu kivyake CCM forever tuwaige wenzetu wa kenya wajameni
maliza shule yako kaka halafu omba upya kazi wizara nyingine kama nafasi zipo au kampuni binafsi maanake serikarini nako kama huna refaa basi wewe ulie tu
C++ for me is my language of choice when it come to programing,I love it more than any other Languages,I think It depends and where you first start your programming and who the lecture was and what methodology of teaching used, I like java alot but not as much as c++.Everyone as his or her own...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.