Search results

  1. shakur kimboka

    Wahenga je hawa ni walimu wako?

    Mwaka Gani?
  2. shakur kimboka

    Namna ya kuanzisha na kufanya biashara ya nafaka

    Achana na mambo ya risk hayana faida, mimi nitajitolea kukuuzia mchele na maharage na kukuletea hadi ulipo
  3. shakur kimboka

    Njoo tubeti kwenye zao la Mpunga

    Yakifika elfu sitini bei yake halali unishtue
  4. shakur kimboka

    Je, inawezekana kupata GPA 5.0 chuo?

    Ni ngumu ila inawezekana kabisa, ni A zote kwa mitiani yote utakayokutana nayo shuleni hapo, katika kusoma kwangu nishawahi kukutana na jamaa mmoja aliyepata GPA ya5 katika chuo cha Ardhi ila ilikuwa Masters na sio Bachelor
  5. shakur kimboka

    Kijana mwenye jinsia mbili

    Akapime hormones kama anaweza kuzaa akate ya kiume kama anaweza zalisha afunge ya kike, kama yupo strong psychologically aishi hivyohivyo wanawake ni viumbe dhaifu sana atafute mmoja atakaye mpenda hayo mambo yanaongeleka vizuri tu hasa kwa wasomi
  6. shakur kimboka

    Sababu zipi wanyama hawa wasifugike licha ya uzuri wao?

    Wote ni punda na wana uhusiano ki asilia ila mmoja ni bora zaidi akiwa nyumbani na huyu mwingine licha ya uzuri na mvuto wake yatupasa tu abaki porini aendelee kuliwa na simba, fisi mamba nk
  7. shakur kimboka

    Muitalia ana nyumba Zanzibar akifa ndugu zake wanaweza kurithi?

    Kama ni nyumba ya kuishi tu na sio hoteli au nyumba ya biashara basi hati yake itakuwa ni batili sababu sheria ya ardhi hairuhusu mgeni kumiliki ardhi kama sio kwa lengo la kuwekeza, na kama ni vinginevyo basi watoto wake watapaswa kuandika barua yenye sababu za kukataa urithi kabla ya mwezi ili...
  8. shakur kimboka

    Ushauri: Lecturer ananitaka kimapenzi, ananitishia yeye ndio mwenye hatma ya matokeo yangu

    Tatizo vijana wengi huwa hamjiamini sasa wewe unaingia darasani vipindi vyote, test unafanya, assignments hukosi, hauna hata barua moja ya utovu wa nidhamu kwa Dean shule au Department, hujawahi kuwa na tatizo lolote lile academically au socially Yani kwa hivyo kukushika tu alitakiwa ajutie...
  9. shakur kimboka

    Mnaipa asilimia ngapi hii ramani ya Bangaloo?

    Ramani inavutia kwa macho lakini ki uhalisia pia kiuchumi ni mbovu sana, 1.kuna haja gani ya kuweka ukuta na mtango dinning room? 2.kuna haja gani ya huo mlango katikati ya korido yani kazi yake ni nini hapo, 3.hiyo store mlango wake uwekwe jikoni iwe kitchen store, 4.pia kuna umuhimu wa...
  10. shakur kimboka

    Korea Kaskazini: Marufuku mabinti kufananisha jina na mtoto wa Kim Jong Un

    Hizo media za Mazayuni huwa zinapenyeza habari nyingi za uongo na uzushi na mara nyingi huwa zinakuwa just for laughs kama kile kipindi cha radio asubh kinachotoa habari za uongo ili kuchekesha tu(nyepesi nyepesi) Ila sasa blogger uchwara ikishapita huko mitandaoni ni copy na paste tu bila...
  11. shakur kimboka

    Kwa anayejua ufaulu unaohitajika Ilboru, Kisimiri au Tabora boys

    Kwa ufaulu huo anasoma shule yoyote ile aitakayo Tanzania, hata kwa CBM/G then badae arudi PCM. Nakumbuka mwaka 2013 kisimiri na Ilboru walipokea hadi 2.18 sasa 1.8 akose sio kweli
  12. shakur kimboka

    Hivi Mungu alisema ukitaka kuandika jina lake uanze na herufi kubwa?

    Ni utaratibu katika mfumo wa maandishi tunaoutumia "roman or latin scripts" kwanza unatakiwa ujue ushawishi au mchango mkubwa uliotolewa na kanisa la Roma juu ya kusambaa kwa huu mfumo wa maandishi unayotumia Ukijua hilo utafahamu kuwa waliweka au ongeza vitu ambavyo waliona ni vema au...
  13. shakur kimboka

    Inasemekana Waafrika wawili akiwemo Mtanzania Nemes waliofariki vitani wakipigania upande wa Urusi walikuwa wanafunzi

    Kuhusu swala la jeshi la soviet russia kupigana front line hilo ni uongo, wao walikuwa wanaleta wataalamu wa vita (technical advisors) kidogo na marubani katika strategic positions tu Ndio maana katika wanajeshi 11k angola 54 tu ndio walipoteza maisha na wote sio katika direct kombati bali...
  14. shakur kimboka

    Barua kwa Wazazi Kutoka kwa mkuu wa Shule St. Charles Borromeo. Serikali ipo wapi? Mama Samia upo wapi?

    Sasa hii ni barua au wameandika kipeperushi, kwanza imekufikiaje hii na utaijibu kwenda wapi?
  15. shakur kimboka

    Wachaga ndio kabila pekee ambalo haliwezi kuua sababu ya pesa

    Jamii forum inatumika sana kama chombo cha kueneza ukabila na chuki za kidini na hii imekuwa ni hivi kwa muda mrefu, Sasa ni bora serikali iifute tu kabisa tuendelee kutumia mitandao ya wahariri waliosajiliwa moja kwa moja na sio kila mtumiaji anaandika utumbo wake mwenyewe Haya mambo user...
  16. shakur kimboka

    Warundi walitukosea nini!?

    Tatizo ni uelewa wako mdogo wa hizi nchi, kinachotofautisha hawa warundi na wanyarwanda ni makaratasi ya pasport zao tu ila huwezi kujua yupi ni wa nchi ipi kama hana hizo karatasi Hivyo changamoto wanazokutana nao warundi ndio hizo hizo wanazokutana nao wanyarwanda hapa nchini, kama unaona...
  17. shakur kimboka

    Aliyepata update yoyote akaunti ya HESLB

    Dogo kapata walau nusu ada ila sio sawa na kukosa kabisa, alikosa batch zote pia kwa rufaa alikosa japo alikuwa na sifa zote bodi walizotaka Wiki ya mwisho ambayo majibu ya rufaa yalitoka, ilimbidi aende bodi mwenyewe bila appointment haikuwa raisi kuingia ila alifanikiwa na kupeleka vielelezo...
  18. shakur kimboka

    Wagweno, Wasangi na Wachome wanasema kwao Moshi

    Mbona umekuwa specific kwa watu wanaotokea upareni tu, vipi kwa Hai, Sia, Rombo na Moshi Vijijini wao ni sawa kusema wanatokea/wanaenda Moshi?
  19. shakur kimboka

    Aliyepata update yoyote akaunti ya HESLB

    Ya dogo hicho kipengele cha appeal verification bado hakijafunguliwa na hicho cha allocation status hakipo kabisa, yeye alifanya rufaa siku ya pili baada ya dirisha la rufaa kufunguliwa pia mara ya kwanza hakupata kabisa
Back
Top Bottom