Search results

  1. M

    Huu Utitiri wa Maofisa wa Serikali kwenda Hanang, Wanaenda Kufanya Uokoaji au Kuonekana?

    Umetoa wazo la maana sana kama watafuatilia. 👍
  2. M

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Timu inayofukuza makocha wa man u ni Liverpool peke yake.
  3. M

    Ninunue simu ipi kati ya iPhone 14 pro max au Samsung galaxy note 22 ultra?

    Pump it up! - best crypto pumps on telegram Make 1000% and more within 1 day, join channel @pump_upp !
  4. M

    Msaada: Nakojoa sana muda wa asubuhi na usiku

    Hii hali mimi ninayo kuanzia miaka ya 90. Nimesha pima vipimo vingi na siku onekana na tatizo lolote. Katika kufuatilia nilipata wataalamu kama wawili na maelezo yao yalikuwa karibia sawa, walisema chunguza wakati wa joto unapotoka jasho unakua hukojoi sana na pia wakati wa baridi ndio unakojoa...
  5. M

    TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

    Kama nilivyoandika juu kwa hii sijajua maana ninataka ku upgrade sasa
  6. M

    TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

    Ndiyo lakini kwa speed walioandika haifikii.
  7. M

    TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

    Mpaka sasa speed iko stable na nimemtumia kwa mwezi mzima bila kupungua, sijui kwa baadae.
  8. M

    TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

    Kwa tv hasa smart tv zenye hd resolution bora ya 80,000.lakini sijajua itaongezeka speed kiasi gani. kua makini maana nimetaka pia upgrade ya 80k lakini mpaka leo haijakaa sawa.
  9. M

    TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

    TTCL ttcl wana 1.Fibre optic ambayo iko baadhi ya sehemu hasa Masaki na wana 2.copper connection ambayo wanatumia waya na nguzo zilezile zilizokuwa zikitoa huduma ya simu za mezani na fax. Hapa nitazungumzia copper connection ambayo mimi nimeweka nyumbani, ukiwa nje au karibu na nyumba kuna...
  10. M

    Show your hand writing(mwandiko)

    Nimejaribu
  11. M

    Kukariri darasa

    Ahsante nashukuru kwa ushauri
  12. M

    Kukariri darasa

    Nashukuru lakini kwa walimu wa shule inaonekana upande wao ni vigumu mpaka nifuatilie mwenyewe
  13. M

    Kukariri darasa

    Wakuu Habari, Naomba msaada wa kujua ni njia gani zinaweza kutumika kukariri darasa kwa mtoto aliekuwa kidato cha kwanza na ambae nahitaji arudie tena kidato hicho hicho kutokana na ufaulu wake kuwa hafifu.
  14. M

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    http://thepeoplesperson.com/2020/01/14/ed-woodward-fiddles-while-manchester-united-burns-bruno-fernandes-deal-unravels-211327/ Sent using Jamii Forums mobile app
  15. M

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    https://www.football365.com/news/five-things-jose-mourinho-was-right-about-at-man-utd
Back
Top Bottom