Josep Bartomeu kashanya yake uko, sisi bado kocha wetu anazungumzia rebuilding process uku akitabasamu, daah
Huyu Ogs alitakiwa kuwa politician
Screenshot_20200114-091701.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bodi yetu ni tatizo kubwa linalotutafuna, kwa ubovu wa timu yetu mpaka sasa ilitakiwa tuwe tushasajiri wachezaji si chini ya wawili

No Herera replacement, Felain replacement, Scot & Pogba wapo kitandani, bado tunashindwa ingia mfukoni?

Next game Anfied agaist liverpool, toka moyoni natamani hii game tupigwe nyingi sana, ikiwezekana tule hata 7 - 0 pengine itawamsha kina Glazer, yaani leo Leicester ina kikosi kizuri kuliko Giant Manchester United, really?

Kwa style hii wachezaji wazuri itakua ngumu kukubali kuja utd

Kina Glazer famili wanaiua hii club yetu pendwa, natamani wawauzie waarabu

Inashangaza mpaka leo zimejaa tetesi tu mpira unatushinda hata kusajili pia kunatushinda sasa sijui tunaweza kufanya nini sisi Manchester United.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siamini kama Leicester ina kikosi kizuri kuliko United

Ila ina kocha mzuri zaidi kuliko wetu
Bodi yetu ni tatizo kubwa linalotutafuna, kwa ubovu wa timu yetu mpaka sasa ilitakiwa tuwe tushasajiri wachezaji si chini ya wawili

No Herera replacement, Felain replacement, Scot & Pogba wapo kitandani, bado tunashindwa ingia mfukoni?

Next game Anfied agaist liverpool, toka moyoni natamani hii game tupigwe nyingi sana, ikiwezekana tule hata 7 - 0 pengine itawamsha kina Glazer, yaani leo Leicester ina kikosi kizuri kuliko Giant Manchester United, really?

Kwa style hii wachezaji wazuri itakua ngumu kukubali kuja utd

Kina Glazer famili wanaiua hii club yetu pendwa, natamani wawauzie waarabu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Man Utd wanamtaka Bruno, Bruno anataka kwenda United na Sporting wapo tayari kuuza na inasemekana wanahitaji sana fedha kwa sasa

Man Utd wapo tayari kutoa £50m na add ons,

Sporting wanataka £65m au pungufu ya hiyo na Rojo

Kama usajili utahusisha mchezaji kutoka United na hela, utachelewa zaidi kukamilika maana itabidi mchezaji akubali kwenda, pili akubaliane na Sporting (mambo ya mshahara) , tayari hapo mchakato utarefushwa zaidi

Kwa kuwa Rojo ana mshahara mnono United, Sporting wanataka United watoe ruzuku ya mshahara kwani wao hawataweza kumlipa

Tulitegemea jana dili likamilishwe, ikibidi Bruno afanyiwe vipimo jana hiyo hiyo, lakini jana alifanya mazoezi na Sporting CP ishara ya kuwa dili bado ni bichi

Patince is needed, patience is something we football fans don't have

Hi timu ishakuwa yakipumbavu kwanini haimalizi mahesabu mapema.

Yani wanaona uchungu saana kulipa hela. Ingekuwa possible wangemtoa lingard kama add on au nyongeza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siamini kama Leicester ina kikosi kizuri kuliko United

Ila ina kocha mzuri zaidi kuliko wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahahahah
Mc Tominay =Wilfried Ndindi
Evans = Lindelof, Jones
Chilwell =Show, Young
Telemans = Mata,Fred
Vardy = Rashford,Martial,Greenwood
Madison = Mata,Lingard,Perreira
Schmeichel = De Gea kwa Current form aliyonayo hivi sasa haingii kwa Schmeichel
Endelea kujidanganya Eti Manchester United ina kikosi bora kuliko Leicester Kikosi cha United Qualify players hawazidi watatu or wanne.
 
Sehemu pekee ambayo ninakiri wametuzidi ni namba 10

Tominay na Ndidi naona kama wapo sawa na kama wamezidiana ni kwa kiasi kidogo sana

Vardy na Rashford kwa current form kama ulivyosema kwa golikipa, Rashy amemzidi Vardy

Kwa golikipa tuna Degea, tuna Romero anayeweza kumuweka benchi hata Alison

Evans (Man Utd reject) kumzidi Lindelof, wakati huo tuna Bailly na Tuanzebe benchi, Chillwel kumzidi Williams, Tilesman kumzidi Fred kwa current form nachukulia kama ulikuwa unatania

Pia tulimchukua beki wao bora wa kati, naona umejisahaulisha kumtaja na kirusi Pogba

Hivi ikitokea Soyuncu, kipa wao au Vardy au Madison wameumia kwa muda mrefu wana wachezaji mbadala kwenye namba zao
Hahahahahahahahah
Mc Tominay =Wilfried Ndindi
Evans = Lindelof, Jones
Chilwell =Show, Young
Telemans = Mata,Fred
Vardy = Rashford,Martial,Greenwood
Madison = Mata,Lingard,Perreira
Schmeichel = De Gea kwa Current form aliyonayo hivi sasa haingii kwa Schmeichel
Endelea kujidanganya Eti Manchester United ina kikosi bora kuliko Leicester Kikosi cha United Qualify players hawazidi watatu or wanne.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubaliana na aya ya kwanza,

Kwenye suala la presha ya mashabiki siamini kama Ole anaweza ku handle kuliko Rodgers

Rodgers amefundisha Liverpool, huo ni uzoefu wa kutosha

Rodgers kaifundisha Celtic, the biggest football club in Scotland with a lot of pressure
Ubora wa wachezaji kati ya Man u na Leicester city unatofautishwa na ubora wa makocha.

OGS angekuwa kocha wa Leicester city, city ingekuwa nafasi ya 10 huko.

Na kocha wa leicester angekuwa kocha wa Man u dah sidhani kama man u ingekuwa vizuri kama Leicester sababu mojawapo ni presha ya mashabiki, wachezaji wengi wa man u uwezo wao umeshuka sana wanakula mshahara bure.

Sent using Cash Money Wings

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh! Hapa kwa Mc tominay ni mawazo yako ila hata me liverpool mwenzako nakupinga. I wish siku moja huyu jamaa angetua Anfield tungebeba vikombe mpaka vibakuli
Hahahahahahahahah
Mc Tominay =Wilfried Ndindi
Evans = Lindelof, Jones
Chilwell =Show, Young
Telemans = Mata,Fred
Vardy = Rashford,Martial,Greenwood
Madison = Mata,Lingard,Perreira
Schmeichel = De Gea kwa Current form aliyonayo hivi sasa haingii kwa Schmeichel
Endelea kujidanganya Eti Manchester United ina kikosi bora kuliko Leicester Kikosi cha United Qualify players hawazidi watatu or wanne.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh! Hapa kwa Mc tominay ni mawazo yako ila hata me liverpool mwenzako nakupinga. I wish siku moja huyu jamaa angetua Anfield tungebeba vikombe mpaka vibakuli

Sent using Jamii Forums mobile app
Unapinga hoja za watu kwa kuandika Bla bla tu Leta hoja za kueleweka Mimi nimesema Wilfried Ndindi ni bora mara miles kwa Mc Tominay,Unakuja kuniambia sijui akija Liverpool sijui nini Wewe kwa uelewa wako Position anayocheza Mc Tominay akija kwenye Squad ya Klopp anaweza kuingia F11.
 
Back
Top Bottom