Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,102
- 53,351
Misimu minne ya klopp hakuchukua kitu. Misimu mitatu ya Morinho akatupa Europa.Klopp habari nyingine acha utani
Misimu minne ya klopp hakuchukua kitu. Misimu mitatu ya Morinho akatupa Europa.Klopp habari nyingine acha utani
Matatizo ni makubwa sana.
Tukimshushia yote Ole tutamuumiza.
Tumuachie machache kwanza.
Kuwauza wachezaji wazuri na kubakisha makapi ni mzigo wake.
Kutoa recommendation ya kuwaongeza mikataba Lingard, Rashford, Jones, Young, Mata, Smalling ni matatizo yake.
Kukosa wachezaji sahihi ni shida za Ed.
Kuna tatizo pale United ambalo muda mwingi nimekuwa silielewi kabisa.
Kama unakumbuka kipindi cha Mou, ule msimu wa Zlatan, timu ilikuwa inatengeneza nafasi nyingi sana za kufunga. Walikuwa wanafika hadi kwenye box na kutengeneza nafasi za wazi kabisa ila kwa wafungaji kulikuwa na uzembe wa kumalizia. Kipindi hicho tatizo kidogo lilikuwa upande wa mabeki. Kwa mazingira haya inamaanisha kiungo kilikuwa safi.
Ghafla leo tupo na Ole timu imekufa kabisa,kiungo sifuri,mbele kule ndio usiongee. Tumebaki na mabeki pekee.
Shida ni nini? Ni kile alichosema Neville kwamba timu inafanya maamuzi ya kukurupuka?
sasa tumlilie rashford badala ya lukaku ? hivi rashford analipi la ajabu jamaa hajui mpira..bahati nzuri hizo hoja zako zimeshajibiwa mara nyingi sana humu ndani.
hata kumuamini scot kwenye kiungo ni kosa kubwa dogo ni wakawaida sana hata scotland alikuwa anaazia nje sahv ndo kaanza kupewa nafasi baada ya kupewa namba ya uhuakika na man united
Kuna tatizo pale United ambalo muda mwingi nimekuwa silielewi kabisa.
Kama unakumbuka kipindi cha Mou, ule msimu wa Zlatan, timu ilikuwa inatengeneza nafasi nyingi sana za kufunga. Walikuwa wanafika hadi kwenye box na kutengeneza nafasi za wazi kabisa ila kwa wafungaji kulikuwa na uzembe wa kumalizia. Kipindi hicho tatizo kidogo lilikuwa upande wa mabeki. Kwa mazingira haya inamaanisha kiungo kilikuwa safi.
Ghafla leo tupo na Ole timu imekufa kabisa,kiungo sifuri,mbele kule ndio usiongee. Tumebaki na mabeki pekee.
Shida ni nini? Ni kile alichosema Neville kwamba timu inafanya maamuzi ya kukurupuka?
apewe muda kama anahesabu yeye alikuwa hajui kama kwenye kuingo atabaki na scot,fred,matic na pogba,hakujua mastriker atabaki na rashford,martial na greenwood ? na amembakiza young kwenye timu wakazi gani ? hajui anachofanya...Kocha apewe muda... klopp imemchukua misimu mitano kuwa hapa walipo... kocha wa spurs msimu wake wa saba huu nothing ole aachwe ajenge TEAM.. apewe muda
Ishu sio kumuuza Lukaku..ishu ni je alimuuza ili awape nafasi Martial na Rashford??..Kwanini hakuingia sokoni kutafuta straika mzuri??..Mashabiki wa man utd wakati mwingine tunakuwa kama maandazi. Watu bado wanamlilia lukaku, wanasema eti anatufaa. Lukaku hamna kitu, big match kama ya juzi kati ya inter na juve, kafanya nn cha maana? Sanchez umri umeenda, kaja man utd na mshahara mkubwa, matatizo aliyoyaleta, ndiyo haya, kila mchezaji wa man utd anataka kuboreshewa mpunga. Acheni kututajia hao sanchez na mwenzake lukaku, hawana tija kwa man utd, ole was right. Tuwe wavumilivu.
Hivi kwanza best position ya huyu dogo ni ipi??..DM au AM??..Maana akisogea mbele hakuna na kutisha anachokionyesha..Ana spirit ndio,,ila quality badobado,huyu ni wakutokea benchi kama ulivyosemahata kumuamini scot kwenye kiungo ni kosa kubwa dogo ni wakawaida sana hata scotland alikuwa anaazia nje sahv ndo kaanza kupewa nafasi baada ya kupewa namba ya uhuakika na man united
KWA TAARIFA YENU:- OLE hatimuliwi makubaliano ni kwamba dirisha dogo january anasajili mastriker 2 na winga 1 na ahakikishe timu inamaliza top 4.
timu ina wachezaji wanaostahili kubaki wachache sana kwa mimi wakuanza ni degea,wan bissaka,maguire na pogba na yuleyule zeruzeru scot ni wakuanzia benchi walobaki wote wameoza.....
Hivi kwanza best position ya huyu dogo ni ipi??..DM au AM??..Maana akisogea mbele hakuna na kutisha anachokionyesha..Ana spirit ndio,,ila quality badobado,huyu ni wakutokea benchi kama ulivyosema
KWA TAARIFA YENU:- OLE hatimuliwi makubaliano ni kwamba dirisha dogo january anasajili mastriker 2 na winga 1 na ahakikishe timu inamaliza top 4.
Kudadeki nani atakubali kubaki?Ole Gunner asifukuzwe kazi.
Abaki hapo hadi mwisho wa msimu.
Nataka nione United ikishuka daraja.
Kwenye historia ya maisha yangu nione timu ninayoishabikia ikishuka daraja.
Pia, tuone comfortability ya management na owners itakavyokuwa.
Ila mwisho wa msimu timu uvunje mikataba na 90% ya wachezaji, wabaki Pogba, Sergio, DeGea na Bissaka tu.
Ole must stay.
ahahahahahahaha kwa ninavyoipenda manchester nadhani huo ndo utakua mwisho wanguKudadeki nani atakubali kubaki?