Search results

  1. Bree ven

    Kuna mwanaume anaeweza kusubiri?

    Hili linanisumbua akili kidogo, nauliza tu jamani hivi kuna mwanaume ambaye yupo tayari kuingia ktk majukumu ya ki ndoa lakini akasubiri asifanye ngono kabla ya ndoa? Nahitaji tu kujua kama wapo maana hii imekua kawaida sex before marriage, nimesikitika sana hata wale ninaowaamini kuwa ni...
  2. Bree ven

    Wanaume waliosoma seminari

    Naomba kuuliza jamani, hivi wanaume waliosoma seminari wanasifa zipi na hasa inapokuja suala la wao kuwa baba ktk familia. Nimewahi msikia mtu mmoja akimwambia mwanamke aliye olewa na kijana aliyewahi soma shule za seminari kuwa amshikilie sana, sasa sikuelewa. Hivi hawa vijana wanasifa zipi...
  3. Bree ven

    Kuosha maembe kwa sabuni

    Naomba kuuliza wataalamu, kuna tatizo lolote iwapo mtu anaosha maembe kwa kuyasafisha na sabuni kisha kuyasuuza vizuri kwa maji safi na kisha kula maganda yake?
  4. Bree ven

    Kumtongoza mwanamke hata kabla hujakubaliwa unaanza kutangaza kuwa ni mpenzi wako, hii imekaaje?

    Kwa nini iko hivi? Baadhi ya wanaume anamtongoza mwanamke, anamwambia nakupenda tena kwa kumwandikia tu message kupitia simu. Na mwanamke kwa upande wake hata haja reply chochote kama vile nakupenda pia. Cha kushangaza mwanaume anaanza kutangaza kwa washkaji zake kua oooh huyu shemeji yenu na...
  5. Bree ven

    Am I falling in love or is just a crush?

    I'm 29 yrs old now. I have never been in any relationship, like serious, sina boyfriend hadi sasa. Although I had several crushes over some men, but neither of them didn't work because they were just crushes. Here I am again facing another case. Kuna kijana nimetokea kumpenda jinsi alivyo tu...
  6. Bree ven

    Is this love or?

    Falling in love is like your falling into it. I wonder myself now abt crush thing is it the same as infatuation or lust i had passed through crushes and it ends with time. Youlove someone but as u give urself time you give up although you still love that person but time heals and u find...
  7. Bree ven

    Ushauri tafadhali, mchumba akataliwa ukweni

    Habari za majukumu wanajamvi, Nina rafiki yangu wa kike ambaye hivi majuzi alimpeleka rafiki yake wa kiume ambaye ni mume mtarajiwa huko kwao yaani kwa wazazi wa mwanamke kwa utambulisho zaidi kabla ya kutoa mahari. Walipokelewa vizuri siku ya kwanza na siku ya pili kuku kachinjwa ikawa safi...
  8. Bree ven

    Nimefichua siri

    Habari zenu wana jamii, poleni na majukumu. Kuna kitu kinanitatiza ni bora mnisaidie mawazo niwe na amani. Binafsi nina kanuni zangu flani za maisha, na kuna baadhi ya mambo ambayo ni binafsi sana napenda yawe ni siri ya moyo. Sasa kilichotokea ni kwamba nilijikuta nikimwambia mtu wangu...
  9. Bree ven

    Updates za UDOM

    Kwa waliofanya written interview UDOM, je vipi kuhusu matokeo ya mchujo? tokea tarehe 17 hadi leo mbona kimya!! mwenye taarifa yoyote tupeane wadau.
  10. Bree ven

    Mwenye updates za UDOM?

    Wadau majibu ya ule usaili wa kwanza bado tu? mwenzenu tokea tar 17 niko online kuyasikilizia hayo matokeo lakini kimya da! Wadau mkiyapata tupeane news.
  11. Bree ven

    wanaume msitumie simu ku approach!

    Habar wana jf, jamani men msiwe na mazoea ya ku approach ladies kwa njia ya sms. ni siri nawapa mtakosa wake wema kwa uzembe wenu. Wanawake tunapenda vijana wanaojiamini, ukituma sms ina maana hujiamini so mim nakukataa hata kama vp... kama una nia kweli na unataka huyo mwanamke awe wako wa...
  12. Bree ven

    Msaada jamani majina ya walioitwa TPDC kwenye usaili

    Habari wana JF, Naomba kutumiwa document yoyote inayoonesha majina ya walioitwa TPDC kwenye usaili. Nafungua website yao sioni majina na mimi nimeambiwa jina langu lipo kuna rafiki yangu amenisoma gazetini.. Nitashukuru.
  13. Bree ven

    Kwa nini wanaume ni wepesi sana kujielezea kama ni bikra au sio?

    Jamani wana j4 nisaidieni nielewe hili jambo! yani men wako open sana, let say anapoanza kumtongoza lady na akapewa chance ya kuwa na mazungumzo hakawii kuongelea swala la xperience ktk hilo.. wengi ni open sana kiasi kwamba nashangaaa... tofauti na wanawake mpaka aseme ni bikra au sio...
  14. Bree ven

    wanawake tujiamini tuwapo kitandani na waume zetu!!

    salama wanandoa jamani! jamani huu mtindo wa baadhi ya wanawake kuwaonea aibu waume zao kitandani kiasi cha kushindwa kutoa ushirikiano wa kutosha kwa mume inanikera sana.. msishangae siku mumeo kajikwaa hapo nje na kukutana na mdada mjanja kukuzidi... itakua ngumu kumhendo huyo mume...
  15. Bree ven

    Natamani kuolewa na mzungu

    Jamani nahisi nimechoka na hawa wa2 weusi, baadhi ya waafrica 2mezidi jamani kutapeliana kimapenzi, angalau wenze2 wazungu ubabaishaji si sana.. nahisi nikikosa kuolewa na mzungu nitakaa single tu.. labda atokee mwafrica mwenye uzungu qualifications nimechoka na unafiki wa wa2 weusiiii.. hata mi...
Back
Top Bottom