Search results

  1. N

    Till Death Do Us Part!...Wanapendeza Hawa!

    Especially ukielezwa kuwa Mandela kabla ya kumwoa Winnie, alimdump vibaya zaidi Mke wake wa Kwanza wa Ndoa pamoja na watoto wa mke wa kwanza ambao wala hawatajwi. Mimi ningetegemea kuwa Viongozi ndio wangongoza kwenye mifano bora ya Morality lakini sio hawa wakiaAfrika jamani! Halafu wanategemea...
  2. N

    Jussa, Mbenne wabunge wapya!

    Huyu Mbene ni msomi mmoja mama machachari mtetea haki Alikuwa kaolewa na Mwanajeshi Mstaafu. Amefanya kazi NBC, kwenye mashirika ya kimataifa umoja wa Mataifa na Kwenye NGO. Ni Mwenyekiti wa Bodi ya Kenya Comercial Bank Tanzania, Mwenyekiti wa NGO Moja GOIG iko Mbezi Juu, Amewahi kuwa Board...
  3. N

    Wanawake Hawapendi nini?

    Wanawake sio homogenous kila mmoja ana utashi wake na interests zake. Na Kama binadamu hawapendi mambo yale yale ambayo binadamu wengine (wanaume hawapendi kwa ujumla). Kuhusu pesa nafikiri mtu yeyote ambaye ni mkweli atakubali kuwa huo mjadala wa kuwa wanawake wanapenda pesa umepitwa na wakati...
  4. N

    Peter Noni na Rostam - The EPA Connection

    Kwanza Rostam na hao wengine sio watanzania hayo ya ukabila Bongo linawahusu vipi? Again focus on the real issues guys. hawa ni wezi wa mali za Tanzania hilo ndio la kuzingatia na kulitafutia ufumbuzi once and for all. Acheni kuyumbishwa? hawana uchungu na sis hawa!
  5. N

    Peter Noni na Rostam - The EPA Connection

    Sijui unatoa wapi data zako? kama kuna wachaga waliofaidika kwenye utawala wa Mkapa ni shemeji zake tu! Wachaga wamekuwa victims wa tawala zote kwa sababu mbalimbali nyingi zikiwa ni wivu zaidi. Kwa hiyo tuangalie issues at hand namely utawala mbovu, ufisadi, rushwa, kulindana etc. Kama...
  6. N

    Mchemsho wa kwanza wa Zuma

    Nyie mnategemea nini kwa Zuma? Hao ndio watu anaojidentify nao.......majambazi wenzie wanyanyasaji wa kijinsia n.k.nahitaji kuseam zaidi? Ila sasa kwa kutokuona mbali hatambui implications za hatua hiyo kidiplomasia! Jamani yaani viongozi tunaowachagua Africa ni kiungulia kitupu!
  7. N

    Kombora la Mengi lamtikisa Rostam

    Hakuna Mtanzania asiyejua kuwa ufisadi unaathiri watu jamii na nchi kwa ujumla. sasa nikisikia vikundi vya watu wakitoka hadharani kumtetea mtu amabye dunia nzima inamjua kuwa ni fisadi najiuliza kama kweli hawa watu wanaelewa wanachokifanya yaani usaliti wanaoufanya dhidi ya watanzania wenzao...
  8. N

    Open Letter to His Exclence JMK-Is it a Carrot and Stick Land Deal?

    Kweli maswala yote ya uwekezaji nchi hii yanahitaji yaangaliwe kwa makini sana. Maana tumeshaumizwa sana sisi Watanzania. Tatizo ni kuwa TIC ni Bomu haswa kutokana na uongozi usioeleweka. Sielewi kwa nini hili haliangaliwi kwanza kabla ya yote.Pili Investment policy ya nchi yoyote kama policy...
  9. N

    Ex- bishop sasa ni Raisi: Wanawake aliozaa nao wazidi wajitokeza!

    mimi sina Issue na watu wazima kukubaliana kutembea au kuzaa issue yangu kubwa sana na in fact ni kero na pale mtu mzima haswa mwanauma amezaa na mwanamke kwa mapenzi halafu anajifanya kuwa ni mwadilifu na kurukia kugombea ukubwa wakati ana mifupa kibao kwenye kabati! Kwanza siyo haki kwa watoto...
  10. N

    Sasa naweza kuruka na ATCL

    Ni kweli kuna airlines nyingi ambazo wahudumu wamesogea kidogo kiumri lakini hao ndio huwekwa daraja la kwanza kuhudumia wateja wa wenye nyadhifa zao. lakini tija wanayoonyesha ni ya hali ya juu. Siyo hawa wa kwetu wanafanya kazi kama wamelazimishwa. Jamani mie mwenzenu pigeni ua huduma Tz...
  11. N

    Alpha Dry Cleaner-Mlimani City!

    Jamani mnafahamu kuwa kwa waafrika imejengeka dhana, ali muradi una mapesa mengi na unaweza kuiingiza kwenye biashara za kila aina basi wewe ni mjasiriamali! Whether unapata faida, unatoa huduma nzuri ama unakidhi haja ya soko. Matokeo yake watu wanafungua mashule wakati hawana hata idea ya...
  12. N

    Hatimaye Kigogo wa NIC aachia Ngazi

    Kha Jamani, Sikatai shirika lilikuwa na matatizo kama yalivyo mashirika yote ya uma lakini mzigo huo asitwishwe ndugu yangu huyu peke yake ki hivyo! Shirika limeanza kutafunwa tangu enzi za Mkuu wa kwanza yule marehemu leo iweje mumshupalie huyu Mama wa watu! Haya basi tuyaache hayo...
  13. N

    Saudi investors eye Tanzanian farmland

    Hallo Friends and wanajamii, You know what! for some reason...(s) I am not adverse to any investment in agriculture... and commercial agriculture ....and contract faming ....and organic farming to Boot! Just as long as it addresses the following: 1. land ownership arrangements are clear that...
  14. N

    Usafi na Vivutio vya Dar es Salaam

    Jamani, Naomba tuongelee maswala ya usafi na vivutio vya Dar es Salaam kama Jiji Kuu la Tanzania. Hivi taka kuzagaa kila mahali, mashimo kwenye barabara kuu za jiji, mitaro iliyojaa uchau na mimea, ofisi za serikali chafu na ambazo hazina vyoo vinavyofanya kazi wala kusafishwa, na kadhalika...
Back
Top Bottom