Search results

  1. Chocolate

    Pata generator kwa bei poa

    UPDATE Sasa tunayo, Boss 6.5kv. Inatosha kwa matumizi ya nyumbani na ofisi ya kawaida. Inaweza kusukuma fridge,pasi,taa za ndani na nje. Pia inaweza kusukuma, Ac ya HP 1.5 mpaka 2hp. Computer zisizo pungua 4,fen na photocopy. Ina warrant ya mwaka 1. Inaweza kutumia mafuta 1lt kwa masaa 2...
  2. Chocolate

    Pata generator kwa bei poa

    Tumekwisha karibia tunasubiri ujibu maswali kwanza ndiyo tuje. Mie nataka kwa ajili ya matumizi ya nyumbani lakini sitaki inayopiga makelele je nitapata?
  3. Chocolate

    Gari namba T 820 CNA, limepinduka na kusababisha vifo

    Kwa taarifa nilizopata ni kweli ndiyo ajali hii imemuua yeye na mwenzake
  4. Chocolate

    Jamani mmemuona Jide

  5. Chocolate

    Children toy....

    Mi mwenyewe tu zimenitisha
  6. Chocolate

    Fundisho gani Kuvunjika kwa ndoa ya Vicky Kamata?

    Fundisho..... hata mwanaume akosee vipi atakayelaumiwa ni mwanamke
  7. Chocolate

    Msaada

    Tambazi ndiyo ugongwa gani na unafananaje?
  8. Chocolate

    Kweli sinabudi kuwaheshimu WANAWAKE, mnisamehe kama nimewahi kuwakosea heshima

    Mungu akubariki kwa kulitambua hili libarikiwe pia na tumbo lililikuzaa!
  9. Chocolate

    Wakali wa umombo JF...

    Heee.....! Nimetoka kapa!
  10. Chocolate

    Fanya Setting hizi kujua aliyekupigia Wakati umezima simu yako(Voda na Airtel tu)

    Nimejaribu zaidi ya mara kumi inaniambia "unexpected error from network"
  11. Chocolate

    Nataka meno yangu yang'ae, msaada

    Yasugue kwa baking soda
  12. Chocolate

    Tunafanya Fumigation

    Toa jibu hatujaelewa tano ndio nini?
  13. Chocolate

    Hizi text za kidini za kufowardiana...!!!

    Kwakweli zinakera sana na kumalizia chaji tu
  14. Chocolate

    Gharama za body checkup na hospitali nzuri kwa ajili body checkup

    Kuna kipindi muhimbili walikuwa wanatangaza kutoa huduma hiyo kwa ada ambayo sikumbuki ilikuwa sh ngapi pia walitoa na namba ya simu niliichukua lkn sijuwahi kupiga sina uhakika kama huduma bado ipo namba ni 0715 648 636 labda jaribu kupiga kuulizia
  15. Chocolate

    Kiwanja bei chee!

    Kiwanja kinauzwa Kigamboni eneo la kimbiji/kijaka lenye ukubwa wa sqm 1,440. kiko eneo zuri karibu na barabara pia karibu na chuo kipya cha biashara. Bei shilingi million 12.5. Kiwanja kina offer na mazungumzo yapo. Kwa mawasiliano na maelekezo zaidi piga simu namba 0767 593 399 Karibuni.
  16. Chocolate

    Feni ambazo unaweka maji

    Wataalamu wanasema ukitumia hizo feni uweke pia na dehumudifier ili kufyonza ule mvuke wa majimaji bila hivyo pneumonia itakuhusu sana
  17. Chocolate

    Wadada, niulizeni kitu chochote kuhusiana na huduma za salon, hair & nails

    Nitashukuru sana kupata hiyo treatment pamoja na hayo mafuta. Kwa sasa ninatumia product za olive
Back
Top Bottom