Search results

  1. ANTHONY KWEKA

    Mahusiano bora eneo la kazi

    Namna ya Kujenga Uhusiano Mzuri na Wafanyakazi Wenzako. 1.. *Wasaidie watu kufikia malengo yao - Usiwe kikwazo cha mafanikio ya wengine kikazi au binafsi. 2.. *Wafanye watu wajione wanakuzidi - Usitumie wadhifa, Umri au Taluma yako kujiinua kwa namna yoyote. 3... *Kubali kuanzia chini - Usiwe...
  2. ANTHONY KWEKA

    Kuna uhusiano kati ya matokeo ya kidato cha sita na kubet

    kwanini boys wamefanya kawaida angali girls wao wamefanya vizuruli still wao ndio wana kaskkash nyiingi za ratiba za maisha. JE BOYS WAMEKUWA MA BISHOO SAANA??? AU M. BET ZIMEZIDI AU SOCIAL MEDIA KUUZA SURA kuna nini behind the scene???? #SHINDANA VIGEZO USISHINDANE NA WATU.....
  3. ANTHONY KWEKA

    First batch SAUT Arusha

    Hatimae st Augustine wameanza kuvunja ukimya kwa kutoa majina ya tawi la Arusha. Www.saut.ac.tz
  4. ANTHONY KWEKA

    Wale wa degree application 2016

    Wanajamiii wote Tukumbushane mwisho wa kufanya maombi kwa tcu cas ni kesho saa 6 usiku. Upatapo taarifa hii mjuze na mwingine. Hii inawahusu wa F6 Diploma.. Na RPl
  5. ANTHONY KWEKA

    Tofauti ya ujuzi/maarifa na busara

    Leo asubuhi nilikuwa nasikiliza kipindi kimoja kwenye redio fulani. Kulikuwa na mtaalam mmoja aliyebobea kwenye port nd shipping (Bandari). Kuna kitu alikisema ambacho kinamaana sana. Alisema kwamba, siku zote kuna mambo mawili tunayoyachanganya watanzania, Proffesional and wisdom (utaalam na...
  6. ANTHONY KWEKA

    Website ya TCU mbona haifunguki?

    Ikiwa siku zina yoyoma na wapo watu washaenda tcu ofisin kwa matatizo ya system Cha kushangaza tovuti hiyo haifunguki tangu jana jumatatu...
  7. ANTHONY KWEKA

    Mada nyeetiii

    Jaman hivi wazo la kiongozi ni agizo kwa watawaliwa...???? Je kiongozi anajua kila kitu???
  8. ANTHONY KWEKA

    Idm yangu inasumbua

    Msaada IDM yangu ianataka serial number jinsi ya kuipata sijajua mwenye uelewa na hii WANA IT
  9. ANTHONY KWEKA

    Jamani mie naona mkuu wa kaya hana nia nzuri na maendeleo ya tehama ``ict``

    WALIANZA NA VISIMBUZI/VINGAMUZI SASA WAMESHAFIKA HADI KWENYE SIM CARD.... HIVI HII SERIKALI YA MKUU WA KAYA WANATAKA TUHAME NCHI TUWE WAKIMBIZI KABISA. KILA KITU MNATAKA KODI HADI simu eti tumia simu au usitumie lazima utoe BUKU?????, UNYANYASAJI ZAIDI YA UKOLONI
  10. ANTHONY KWEKA

    Wanajamii shukrani za dhati twa wana it wote

    Kwa heshima na tahadhima nawashukuruni kwa msaada wenu wa kuniwezesha ku UNLOCK HUAWEI MODEM E303s-2. PERMANENTLY. NOW I'M FREEE WITH TEHAMA. MUNGU AWABARIKI NYOTE :smile-big: :smile-big:
  11. ANTHONY KWEKA

    Adobe photoshop software

    Jinsi ya ku download na ku install tafadhali.
  12. ANTHONY KWEKA

    Laptop Laptop

    Ndugu, Ni aina gani ya laptop ambayo ni nzuri zaidi?? Je kuna ukweli wowote kwamba Acer huwa zinagoma keyboard ?? Msaada tafadhali
  13. ANTHONY KWEKA

    Mara kamati mara tume.

    Hivi inamaana hawa viongozi watz wametuona sie mabongolala sana. Kwamba sababu za kufeli kwa wanafunz wa shule ya msingi na form 4 hazifahamiki coz tangu mwaka 2007 hadi 2012 chart inashuka tu. Ile tume ya kwanza matokeo yake kapuni.
  14. ANTHONY KWEKA

    NOKIA 2710c-2

    SIMU YANGU inagoma kufanya kazi kila mara na kuandika herufi yenyewe hata nikipigiwa haikubali kupokea button zote zinagoma tatizo litakua nini? Suluhisho lake
  15. ANTHONY KWEKA

    Record management

    oooooo
  16. ANTHONY KWEKA

    Secretary, receptionalist & librarian

    Ninaitwa
  17. ANTHONY KWEKA

    Mwenye contruct ya plambing & pipe fit.

    Kijana FELICHESM Y MUNISHI, anaesoma KARANGA TECHNICAL-MOSHI anatafuta sehemu ya kufanyia mazoezi kwa vitendo 'field' kuanzia mwezi May hadi Julay, popote Arusha, Kilimanjaro na Manyara. Kama unaweza mpatia nafasi nijulishe kwa email 'kwekaanthony@hotmail.com'. SOCIAL NETWORK Facebook...
Back
Top Bottom