Website ya TCU mbona haifunguki?

Website ya TCU mbona haifunguki?

ANTHONY KWEKA

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2013
Posts
956
Reaction score
380
Ikiwa siku zina yoyoma na wapo watu washaenda tcu ofisin kwa matatizo ya system
Cha kushangaza tovuti hiyo haifunguki tangu jana jumatatu...
 
Hivi hatima ya wadogo zetu walioomba shahada ya kwanza kupitia NACTE ikoje? wataomba upya ama yale maombi yao yatapelekwa TCU?
Ama watatengeneza namna nyingine ya kuupdate application kwenye account walizokwisha pewa wakati ule?
 
Wanajua sana kuwa website yao ina tatizo ila wamekaa kimya. kwa nini wasingetumia hata njia nyingine kutoa taarifa? au hii ni njia moja wapo ya kupunguza watu katika mlolongo wa waombaji?
 
Au deadline ndo imefika!ila kwa ninni hawajatoa taarifa yoyote!?Hili ni tatizo!
 
Deadline ni 31 August
 

Attachments

  • Screenshot_2016-08-02-15-40-37.jpeg
    Screenshot_2016-08-02-15-40-37.jpeg
    27.6 KB · Views: 70
Back
Top Bottom