Hakuna shaka kua katiba hii ya ccm haina ridhaa ya wananchi wala vyama vikubwa vya upinzani nchini, hii ni katiba ya Ki (DICTATOR) ambayo ufanyaji wa kazi yake utatokana vyombo vya Dola kutumia (Nguvu) zidi ya raia.
Usimamizi wa Katiba hii itakua ni kutumia vyombo vya Dola kushurudisha yani...
Scotland Refeeedom 18 Septemba 2014
Saturday, August 30, 2014
A K Khiari
Hivi karibuni Scotland itapiga kura ya maoni (Referendum)kuamua kwamba inataka kubaki katika United Kingdom ama laa.
Kura hii ni muhimu sana kwa mustakabali wa nchi ya Scotlandambayo kwa miaka mingi imekuwa chini ya...
Mjumbe wa bunge maalum la Katiba ccm Mh Asha Bakar aamua kuvaa Ninja atembeapo maeneo ya mjini Zanzibar. Hii imetokana na zomea zomea kwa wasaliti wa Zanzibar popote waonekapo na kutambulika kuwa ni wasaka Tonge.
Hii ni kufuatia mwakilishi 1 wa ccm alipoenda maeneo ya sokoni mombasa kuzomewa...
mara baada ya mbunge mmoja kusimama na kumuomba Mwenyekiti wa Bunge Pandu Ameir Kificho awatake watendaji wake wagawe vikaratasi vya kura ili ipigwe kura ya siri wachaguwe aidha siri au wazi na kuondokana na kanuni hizo zilizodumumu takriban siku kadhaa bila ya kupatiwa ufumbuzi na wajumbe wengi...
Na Alghaithiyyah, Zanzibar Mwakilishi wa Jimbo la Mji Mkongwe Zanzibar (CUF), Ismail Jussa Landu amesema ikiwa kweli serikali ya umoja ya kitaifa inataka kuonekana kuwa inaheshimu utawala bora na haki za binaadamu itende haki kwa kuwapa dhamana na kuwaachia Masheikh wa Jumuiya ya Uamsho na...
RAIA wa nchi za Rwanda, Uganda na Kenya wamepokea kwa shangwe kuanza kutumia vitambulisho vya uraia, kama hati ya kuwaruhusu kusafiria ndani ya mataifa hayo.
Mpango huo wa kutumia vitambulisho vya uraia kama hati ya kusafiria kwa nchi hizo tatu, ulianza rasmi Januari Mosi, 2014 kufuatia...
''Jamuhuri ya muungano wa Tanzania ni nchi na shirikisho lenye mamlaka kamili ambalo limetokana na Muungano wa nchi 2 za jamuhuli ya Tanganyika na Zanzibar ambazo kabla ya hati ya makubaliano ya Mungano wa mwaka 1964, zilikuwa nchi huru.,''
My Take: Kama Jamuhuli ya Muungano ni NCHI ya...
Ndugu wanajamvi nimeipitia Rasimu hii karibu kurasa zote sioni kifungu wala ibara ya inayomruhusu mshirika wa JMT kujitoa kwenye muungano iwapo ataamua kujitoa kwa sababu zao?
Nisaidieni ndugu.,
Nimejaribu kupitia Rasimu nimeona hili la wabunge wa Jamuhuri ya Muungano watakuwa 70, Tanganyika itatoa 50 na Zanzibar 20 ukiacha wale wa kuteuliwa na Rais kuwakilisha watu wenye ulemavu na wengine mmoja mmoja kuwakilisha m'me na m'ke katika majimbo ya uchaguzi.,
Ivi warioba na tume yake hapa...
Inafurahisha na kutia moyo sasa kuona kwamba ndugu zetu wa Bara kwa mujibu wa Rasimu hii ya 2 wamefumbua macho na kufahamu identity yao kurudi katika jina lao la awali TANGANYIKA badala ya Tanzania Bara., Hongera sana Warioba mengine yatajiseti kwenye Bunge la Katiba.,
Ni baada ya kumalizika shughuli za Jaji warioba kumkabidhi rasimu Mh. Rais Jk kikwete na viongozi wengine baada ya hapo Waziri Mkuu Pinda alionyesha Vidole viwili vya mkono kumuonyesha Maalim Seif akimaanisha serikali 2 na Maalim Seif akaonyesha vidole 3 akimaanisha Serikali 3.,
Kwenu wakuu.,
WAZIRI wa zamani wa serikali ya Zanzibar, Mansour Yussuf Himid amesema Zanzibar ni ya Wazanzibari na ametaka wananchi kujielewa katika kusimamia hilo.
Amesema wananchi wanapaswa kujielewa kuwa Zanzibar ni mali yao wenyewe na hakuna ubia na watu wengine wasiyokuwa Wazanzibari...
Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Shamsi Vuai Nahodha amesema licha ya kuvuliwa uwaziri ataendelea kuwa kiongozi wa kisiasa na kukitumikia chama chake na wananchi bila ya kuvunjika moyo.
Nahodha, ambaye ni Mbunge wa Kuteuliwa ametoa kauli hiyo siku chache baada ya...
Ziara ya kutwa nzima kule visiwa vya karafuu vijana na wakereketwa wa CCM wakiwa katika matembezi maalum ya kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi matukufu leo trehe 24 Dec 2013,
kwenu wakuu.,
Ni baada ya kupigwa na chini kule dodoma ameamkia Zanzibar Leo Alfajiri majogoo kimya kimya., Tanganyika wamemuangusha na Zanzibar ndo ivyo tena Mamlaka kamili kila pembe., Ameumbuka kisiasa.,
Mara zote wazanzibar wakijaribu kupigania uhuru wao kutoka kwa mkoloni mweusi Tanganyika Shamsi alikuwa yuko upande wa Tanganyika., leo kama mumempiga na chini mtafutieni kitalu huko awe anashughulikia au mpeni kundi la ngombe achunge ktk nchi yake ya Tanganyika, Zanzibar hana kwao Kitope...
Kwa mara ya kwanza nimemuona Spika wa bunge Makinda akimkubali Lisu kama mwanasheria wa ukweli ni baada ya Lisu kuinuka kutaja vifungu vya sheria na katiba juu ya kazi za jeshi la wananchi na siyo kupewa amri ya kwenda kuuwa watu ndani ya nchi yao kwenye maeneo ya Wafugaji ''Leo nimekukubali...
Chama Cha Wananchi (CUF) kimeingia katika kijiji cha Donge kufanya mkutano wa hadhara katika viwanja vya Muwanda na kuhutubiwa na Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad. ambapo kabla chama hicho cha CUF tokea miaka ya 95 kimekuwa hakipewi kibali kuweka Mkutano katika kijiji hicho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.