Search results

  1. Heaven on Earth

    Couple maarufu kuwahi kutokea hapa JamiiForums

    Hahaa mimi pia nimefurahi kutoka moyoni.. na smile mwenyewe tu hapa… Stay well & take care mpenzi 😍😍
  2. Heaven on Earth

    Couple maarufu kuwahi kutokea hapa JamiiForums

    Duh hapo ninge guess mpake kesho kutwa nisingejua ni wewe…. Mimi tu ndio nimekomaa na ID yangu.. It feels good to be connected again my dear… habari za siku nyingi??
  3. Heaven on Earth

    Couple maarufu kuwahi kutokea hapa JamiiForums

    Aww Nakupenda pia Call me Solo 😍😍
  4. Heaven on Earth

    Couple maarufu kuwahi kutokea hapa JamiiForums

    Wamekua wakubwa namshukuru Mungu. Hahaaa halafu huyu nani huyu hii ID inani confuse ujue maana kama unajua habari ya twins wangu wewe ni old member mwenzangu
  5. Heaven on Earth

    Who is Your JamiiForums Crush?

    Nipo my all time crush ❤️❤️
  6. Heaven on Earth

    Couple maarufu kuwahi kutokea hapa JamiiForums

    Leo nipo Mkuu… It has been long for real
  7. Heaven on Earth

    Couple maarufu kuwahi kutokea hapa JamiiForums

    Asante my dear…. Salam zimefika tuko kulea familia
  8. Heaven on Earth

    Sifa za wanawake wembamba

    Nipo my friend @chiwa… Habari za siku
  9. Heaven on Earth

    Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Mathematics & Chemistry teacher with experience in Cambridge Curriculum nitumie CV yako. Expected date ya kuanza kama ukikidhi vigezo ni August 2023. All the best.
  10. Heaven on Earth

    Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    You really can’t go wrong with Chanel
  11. Heaven on Earth

    Unatumia mswaki gani?

    For now sina mswaki mwingine natumia hii brand tu.
  12. Heaven on Earth

    Wakuu nipokeeni

    Those were the days [emoji4][emoji4]
  13. Heaven on Earth

    Wakuu nipokeeni

    Nipo mkuu ID yangu haitobadilika, ni priorities tu zimechange…. I am a bit addicted to twitter these days
  14. Heaven on Earth

    Unatumia mswaki gani?

    Ni 4000, the best quality kwa kweli
  15. Heaven on Earth

    TANZIA Rambirambi za mwanachama mwenzetu Warumi

    Habari za asubuhi, Nadhani kutoa rambi rambi ni hiyari ya mtu, na hakuna aliela zimishwa kuchangia kwa ajili ya msiba, Naona watu wana mu attack amu kuwa anataka kutapeli hiyo siyo kweli jamani. Mimi jana nilikua msibani kwa warumi na leo pia nitakuwepo hili swala hakuna utapeli hata kidogo na...
  16. Heaven on Earth

    TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Nimeiona thread hii jioni na I was really shocked na hii taarifa. Na mpaka sasa I am. Nashukuru amu kwa updates na maelekezo yako maana nimeweza kufika mpaka msibani na ndio nimetoka mida hii. Na nimetoa rambi rambi kama JamiiForums na nikawaeleza jinsi gani tuliishi nae hapa jukwaani. Dada...
  17. Heaven on Earth

    Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

    Aww thank you so much. I am working on certain project because of this story.
Back
Top Bottom