Report mpya ya UN inayozungumzia furaha kwa mataifa ya dunia imetoka tarehe 24 March na Tanzania imekuwa ya 131 kati ya nchi 143.
Miaka ya karibuni Tanzania ilikuwa ndani ya kumi za mwisho. Mwaka huu tumetoka kwenye hizo kumi za mwishoni.
https://happiness-report.s3.amazonaws.com/2024/WHR+24.pdf
Mmechanganya madesa Ndio maana mnapingana.
Utafiti huu unahusu afya ya akili. Wanapima hali ya afya ya akili.
Sasa kwenye hizi nchi zetu, afya ya akili ni kitu kipya na mtu akiulizwa anakataa. Pia kuna msemo ujinga ni Baraka. Mtu ambaye ni mjinga akili yake haihangaiki na mambo mengi hivyo...
Hizo ni reports mbili tofauti kabisa. Hii inapima kuhusu wasiwasi wetu juu ya afya ya akili.
Ile ya furaha bado haijatoka na uta tika karibuni. Hii mnayojadili sio ta kuonyesha furaha kwa ujumla. Ni furaha juu ya akili yako. Je Una wasiwasi wa Magonjwa ya akili?
Sasa Watanzania hawa hawajui...
Mkuu,
Hii si report ya furaha. Hii ni report ya mental states.
Sasa Watanzania hatujui lolote hivyo akili zetu zimetulia. Hatuna wasiwasi mwingi. Hakuna vita na hata vita huko duniani hatuvioni. Masuala ya akili ya afya Tanzania hayaongelewi kabisa Kwahiyo hofu hiyo haipo. Sio kipaumbele chetu.
Mmeelewa vibaya, Hii report sio ya kuonyesha furaha. Hii ni mental states.
Sasa Watanzania hatujui vitu vingi. Akili zetu zina amani. Akili ya afya hata hatuhangaiki nayo.
Hatuna vita wala hatuna taarifa za huko kwenye vita. Hivyo ni rahisi akili zetu kuwa sawa.
Report ya furaha ni Hii hapa...
Ndugu,
Tofautisha furaha ya akili na furaha.
Hii report hupima mental states au mental wellbeing za watu.
Furaha hupimwa na report nyingine inaitwa Happiness report. Unaweza ukikuta hapa ya mwaka jana.
https://happiness-report.s3.amazonaws.com/2023/WHR+23.pdf
Hiyo ya sasa ambayo TZ iko juu...
Ujinga mzigo. Wenzako Kiingereza ndio lugha ya kila siku kazini na nyumbani. Tunakuambia hiyo sentensi iko sahihi asilimia 100.
Ila kwasababu hujui Kiingereza unafikiria tu iwe a kind person. Zote mbili ni sahihi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.