Search results

  1. TCleverly

    Stats Show Liverpool's DANIEL STURRIDGE is better than SUAREZ,RONALDO,MESSI,IBRAHIMOV IC!!!!!

    Statistics show Liverpool's Daniel Sturridge is real deal as a striker The man who has a better league goalscoring rate than his team-mate Luis Suárez could boost England's World Cup hopes Daniel Sturridge celebrates scoring Liverpool's third goal in the...
  2. TCleverly

    Nini Tatizo la PC yangu?

    Wana JF,tangu jana PC yangu haionyeshi picha,id,avatars kutoka JF tu,websites nyingine picha zinaonekana kama kawaida,tatizo linaweza kuwa ni nini?
  3. TCleverly

    Ubungo Junction 2060

    NAFIKIRI HII ITATAUA MSONGAMANO WA UBUNGO JUNCTION.
  4. TCleverly

    100 BEST FOOTBALLERS in the WORLD for 2013

    Hawa ndio wachezaji bora 100 wa dunia.....ARSENAL imetoa wachezaji wanne....CHELSEA wachezaji nane....LIVERPOOL mchezaji mmoja....MAN CITY wachezaji sita sita....MAN UTD wachezaji wanne.....BARCELONA wachezaji kumi na moja.....REAL MADRID wachezaji nane...BAYERN MUNICH wachezaji nane..... The...
  5. TCleverly

    Bus Rapid Transit(DART) SPURS Development Better Than Lightrail-STUDY

    Kwa wale mliokuwa mnapinga mradi wa DART na kusema tuweke trams/lightrail badala ya mabasi haya,someni study hio Bus Rapid Transit Spurs Development Better Than Light Rail Or Streetcars: Study...
  6. TCleverly

    NBA TV ndani ya STARTIMES...........

    Kwa wale wenzangu wapenda mpira wa kikapu sasa hivi tutajionea NBA BASKETBALL LIVE GAMES kupitia STARTIMES ambao wameongeza channel ya NBATV......kwa kweli inaonekana kwa kiwango cha juu sana,sasa hivi DSTV hamna ESPN kwahio live nba games hakuna....kwa hili nawapongeza STARTIMES.
  7. TCleverly

    Given A Second Chance,Would You Still Marry Your Spouse???

    My dear brothers and sisters,if ur given a second chance,would marry your spouse again??if ur answer is YES/NO please explain why u would or wouldnt do that.Please be honest as i do believe not all marriages are plain sailing. NB:i dont mean after divorce.what i mean is are you happy with your...
  8. TCleverly

    Kwa Nini CAF African Cup of Nation,FIFA World Cup na EUFA Euro Cup Hazionyweshi kwenye Tv za Bure??

    Hivi ni kwanini mashindano haya ya african cup of nation,world cup na euro hapa tanzania hayaonyweshi kwenye tv za bure kama itv,startv,tbc?? Kwa nchi kama England mashindano haya yanaonyeshwa kwenye tv station za bure kama BBC1,BBC2,ITV etc lakini hapa tanzania ni super sports tu ndio...
  9. TCleverly

    Nani Anaua Vipaji vya Wanamuziki na Kuwanyonya(Exploitation)...... .....

    Wana JF kwa muda mrefu nimekuwa nikisoma lawama wanazotupiwa Clouds Media Group kuwa wanaua vipaji na kuwanyonya wasanii hasa wa kizazi kipya. Je anaua vipaji ni: 1. Clouds Media Group-kwa kutopiga nyimbo zao au kutowaalika wasanii kwenye FIESTA ambayo ni mara moja kwa mwaka[duration 2 months]...
  10. TCleverly

    Maofisa TRA wazungumzia sababu ya makontena kulundikana bandarini

    wafanyabiashara wa kariakoo wamelalamika kwamba makontena yao yamekwama bandarini kwa zaidi ya mwezi mmoja na nusu sasa. wafanyabiashara hao wamedai kuwa tra wamepandisha ushuru ghafla kwa zaidi ya 100-200%. leo maofisa wa tra wanahojiwa na clouds fm na wamesema kuwa kilichosababisha makontena...
  11. TCleverly

    nauza iphone 4s brand new from uk tsh 550000

    wakubwa nauza iphone 4s 64gb tsh 550,000 mpya.anaehitaji please wasiliana na mimi pm....please jiandae kabla ya kuniomba contact,simu ni mpya iko boxed na accessories zake zote...... Angalizo:nipo dar sehemu yeyote hapa dar naweza jaribu kuonana na wewe,kama upo mkoani jinsi ya kuipata hii simu...
  12. TCleverly

    Vituo vyetu vya TV uozo mtupu........

    Pamoja na kusikia kwamba mtwara kuna vurugu kubwa lakini hakuna hata kituo kimoja cha television kinachoonyesha au breaking news hizo.....tbc wanaonyesha harusi,channel 10 wanaonyeshamakwaia wa kuhenga sijui,stat tv wanaonyesha wanyama,itv wanaonyesha tamthilia,eatv wanaonyesha irene...
  13. TCleverly

    Nauza Brand New Whirlpool Washing Machine

    nauza whirlpool washing machine mpya kabisa imported from Uk,haijawahi kutumika......full automatic washing machine 1250 spin(variable 800...100 spin)....ina option kwa ajili ya hand wash clothes etc bei:600,000tsh if ur interested pm please
Back
Top Bottom