Mkuu TCleverly, unamaanisha post yako #4 hiyo 2060 restoration ya mazingira itakuwa imefikia kiwango cha kuufanya mto unaopita pale Landmark Hotel na nyuma ya TBS kurudisha maji kama ilivyokuwa wakati wa uumbaji!?

nakuambia itakua ndoto hebu jaribu kuangalia maendeleo yaliyopatikana kuanzia mwaka 1961 mpaka leo ni kiasi gani halafu ujaribu kufikiria miaka 46 ijayo ili kufikia hiyo 2060 uone kama kuna chochote cha ajab kitakachotokea. labda vyama viwe vinabadilikabadilika kuongoza nchi na watu wazalendo haswaaa wenye hofu ya Mungu.na matabaka yakipungua hapo labda kidogooooo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.