Hili si suala la kuleta kwenye JF, ni issue ndogo sana!
1. Kama una akaunti yako bongo tuma hela zako kwa international wire transfer, then ukiwa huku unaweza kuchukua...easy
2. Kama huwezi hilo huyo anayeuza kwa cash akupe akaunti yake, tuma fedha kulingana na that day's exchange....hakikisha...
A man 80 years of age married a young lady. A year later he carried her to the hospital, and she had a baby.
The nurse said to the man: At your age, how do you do that?
The man answered: You just have to keep the motor running.
Another year passes, and the man carries her back...
A rich lonely widow decided that she needed another man in her life so she placed an ad, which read something like this:
RICH WIDOW LOOKING FOR MAN TO SHARE LIFE AND FORTUNE ...NEEDS TO HAVE THESE QUALIFICATIONS:
1) WON'T BEAT ME UP
2) WON'T RUN AWAY
3) HAS TO BE GREAT IN BED
For several...
Guys, mimi naona imefika wakati serikali iweke utaratibu kutenga eneo maalum kuwa "soko" la magari yaliyotumika kama ilivyo Dubai.....sehemu moja au mbili zinatengwa, zenye eneo kubwa sana, kila anayetaka kuuza magari yake anaenda huko anapewa eneo (plot)!! Hii inasaidia sasa kuboresha mazingira...
propaganda tu za "mwanajeshi" wa huyo marehemu! hiyo casket kwenye picha naona wamedownload somewhere...kwenye link waliyoweka pia hakuna picha!! the only interesting story kwangu ni kuwa hawa jamaa wana vyeo vya kijeshi!! lol
kama kawaida; hawa vijana wanaovaa suruali zipo chini ya ****** na hereni kama mashoga halafu wanajiita wasanii wa bongo fleva asilimia kubwa huwa hawafikirii kabla ya kutunga nyimbo zao! Huo wimbo umelengwa kwa jamii, lazima ajue Tanzania ni nchi ya wakristo wengi, na zaidi wimbo wake...
Two friends meet in the office of one of them, a notorious techo-geek.
"Hey, bud, how are ya?"
"I'm good. Congratulations, that new secretary of yours is beautiful!"
"Well, I'm glad you like her. Believe it or not, she's a robot!
"No way, how could that be?"
"Way! She's the latest...
Joto la Uchaguzi 2010 tayari limepamba moto. Vyama vya upinzani na chama tawala vyote vimeanza kampeni za hapa na pale kila mmoja kutaka kujiwekea mazingira y aushindi! Kuna kila dalili kwamba Chama Cha Mapinduzi sasa kipo kwenye wakati mgumu hasa ukizingatia suala zima la Rushwa na Skendo za...
Wanamatumbi wenzangu wa JF. Haileti maana kuambiwa kuna kazi za kusaidiwa (tena kwa walalahoi) halafu utoe $300 kam aada!!! Hapa sioni msaada. Kwa kuwatahadharisha tafadhali kuweni makini, kuna wajanja wengi wanaibia watu kwa "miradi" ya namna hii, kwa maelezo yoote yaliyotolewa hapa...
Mtoa mada nadhani umesahau kuwa unapofungua account "Taratibu na Masharti huzingatiwa"...hapa wanamaanisha taratibu na masharti ya kibenki!! Nakushangaa kwa nini unatoa kitu kidogo ili kufungua account, kama umekamiisha kila kitu, ninao uhakika, umetoa documents zinazotakiwa, umepata wadhamini...
10 Husbands, Still a Virgin A lawyer married a woman who had previously divorced ten husbands.
On their wedding night, she told her new husband, "Please be gentle, I'm still a virgin."
"What?" said the puzzled groom.
"How can that be if you've been married ten times?"
"Well, Husband...
To JF Doctor!
Mke wangu yupo wiki ya 32 na amekuwa diagnosed kuwa na kifafa cha mimba, amebeba mapacha. Naomba ushauri na maoni ya kitaalamu kumsaidia yeye na watoto.
Asante
Question: How many politicians does it take to change a lightbulb ?
Answer: Two. One to change it, and another one to change it back again.
Question: How many Conservative economists does it take to change a lightbulb ?
Answer: None. The invisible hand does it.
Question: How many economists...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.