Search results

  1. Agogwe

    Viongozi wakubwa duniani wajitokeza kulaani shambulio la Israel dhidi ya watu wa msaada

    kulaani ni kwa mdomo haisaidii kitu, ilitakiwa zichukuliwe hatua ngumu ikiwemo kufunga balozi zao na kusitisha mashirikiano ya kibiashara. Kinyume hapo ni unafiki
  2. Agogwe

    Ramani ya rahisi ya vyumba2 jiko na choo

    floor plan hii hapa
  3. Agogwe

    Tundu Lissu kuvaa T-shirt yenye bendera ya Tanganyika siyo Uchochezi?

    anatukumbusha kuhusu Tanganyika yetu maana tayari ndani ya Muungano wa Tanzania kuna nchi inaitwa Zanzibar.
  4. Agogwe

    Sakata la Bandari: Hayati Magufuli apewe maua yake

    Aliua upinzani na kutengeneza bunge la chama tawala, na sasa haya ndio matunda yake wanafanya wanavyotaka. Bila yeye huenda CCM ingekuwa historia leo hii
  5. Agogwe

    Fedha zetu matopeni tena?

    Hiyo REA ndio tulioambiwa hakuna Umeme wa 27,000/ kila siku inakuwa afadhali ya jana. Brother Mshana Jr hii inaweza kuwa ni laana huko kwenye mambo ya kiroho. Tunahitaji kafara kubwa au ibada nzito kuvunja huu mkosi. Lile nina Tanganyika linafikirisha sana
  6. Agogwe

    Nchi ya Zanzibar ni kama Qatar Wana akili ya maendeleo licha ya udogo wa nchi na uchache wa Raia

    Maendeleo yanaletwa na mambo yafutayo. 1. Siasa safi 2. Uongozi bora 3. Watu (ongezea wenye akili timamu) 4. Ardhi hiyo nchi inayojiita Zanzibar hawana sifa hata moja kati ya hizo
  7. Agogwe

    Mwafrika ni nyani akiyechangamka

    Tunatengeneza matatizo ili tuje tumsifie mtu kwa kuyatatua. Kuna mambo ukiyatafakari sana unaweza ukawa unaongea mwenyewe njiani. Mwafrika ni umbwa mkubwa kasoro mkia
  8. Agogwe

    To my early 30, sijawahi kufanya mambo haya

    utakuja kusumbua watu uzeeni wewe, kuna hatua huwezi kuziruka katika maisha.
  9. Agogwe

    Usiamini kila unachokiona mtandaoni, Zamaradi hajanunuliwa gari na Mume wake

    Ukiendekeza wivu magonjwa ya moyo na kisukari yatakuua tu.
  10. Agogwe

    FT: Simba SC 1-0 Ihefu FC | Ligi Kuu Bara | Stade de Benjamin Mkapa 12/11/2022

    mikia fc wanapumua kwa shida sana
  11. Agogwe

    Kitendo cha Profesa Muhongo kusema hatupo tena uchumi wa kati na Waziri Mwigulu kupinga huku Rais akikubali ni ishara kiimani na kisiasa

    Wasomi wengi wa hii nchi ni hasara tupu. Utafikiri walienda kusomea ujinga
  12. Agogwe

    JamiiForums Usiku wa manane

    Mida ya malaika mtoa roho hii anapita na checklist yake, 3:24am najibariki taraatib na ule mmea wa kondeni
  13. Agogwe

    Nape: Bando ni huduma ya ziada, ukitaka lisiishe tumia salio la kawaida. Mbunge ataka liwe kisheria

    Mwendazake alikuwa sahihi kabisa kuhusu huyu jamaa na wenzake.
  14. Agogwe

    Simba ya Mgunda ingejipigia Club Africain goli tano bila

    Simba level yake ni mbao fc
  15. Agogwe

    Club Africain 0-1 Young Africans | CAFCC Playoff | Yanga yatinga hatua ya makundi

    Waamuzi wanawatafutia goli club africain
Back
Top Bottom