Barabara kutoka Tunduru mpaka Songea ni mbovu sana. Kwa abiria wanaotalajia kusafiri na barabara hiyo wajiandae kubeba vyakula na maji ya kutosha.Kwa sababu mnaweza kukwama njiani zaidi ya siku 2,bila msaada wowote.Maeneo yanayosumbua ni kilimasera,Hulia,matemanga,mingwea na dalaja...
Leo saa 4;05 usiku kutakuwa na mechi nne za robo za kombe la Europe League,
Chelsea v Rubin Kazan
Tottenham v Fc Basel
Benfica v Newcastle
Fenerbahce v Lazio
Real Madrid ya Hispania inaikalibisha Galatasaray ya Uturuki katika robo fainali ya michuano ya Uefa Champion League.Kocha wa Real Madrid,Mreno Jose Mourinho anatafuta kuweka rekodi ya kuwa kocha wa kwanza kuchukua kombe la Uefa mara tatu kwa timu tatu tofauti,mpaka sasa amechukua mara...
Mchezaji wa Barcelona ya Hispania,Lionel Messi ameweka rekodi kwenye ligi kuu Hispania kwa kufunga mfululizo mechi 19.Kwa maana hiyo amezifunga timu zote 19 zinazoshiriki ligi kuu,baada ya mwishoni mwa wiki kufunga goli moja kati ya magoli mawili wakati Barcelona ilipotoka 2-2 na Celta Vigo.Du...
Serikari kupitia Ofisi ya Raisi Sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umma,inawatangazia Watanzania wenye sifa na uwezo kujaza nafasi wazi za kazi kama zilivyo katika tangazo la lugha ya kiingereza na kiswahili.Kwa mujibu wa katibu wa sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umma Bw.Xavier...
Mechi kati ya Bolivia na Argentina ya kufuzu kombe la dunia,iliyochezwa nchini Bolivia katika mji wa La Paz urefu wa mita 4000 kutoka usawa wa bahari ilisababisha wachezaji wa Argentina kuishiwa hewa na wengine kutapika uwanjani.Mechi hiyo iliishia sare ya 1-1.
Raia wa China,Xu Wenze (29) amefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Wilaya ya Mpanda akikabiliwa na tuhuma za kukamatwa na meno matatu ya fisi.Mwendesha mashitaka wa hifadhi ya wanyamapori ya mbuga ya Taifa ya Katavi,Pele Malima,alidai mbele ya hakimu mkazi Mfawidhi Chiganga Tengwa kuwa...
Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema inatarajia kuzima mitambo ya kurusha matangazo ya televisheni ya mfumo wa analogia katika mji wa Moshi na Jiji la Arusha ifikapo machi 31 mwaka huu.Jiji la Mbeya watazima aprili 30 mwaka huu.
source;gazeti la mwananchi
Kwa serikari ya awamu ya nne ya Mheshimiwa JK toka ilipoingia madarakani mwaka 2005-mpaka sasa,mawaziri wanaoziongoza wizara zao vizuri ambao ni mfano wa kuigwa nchini ni wangapi? na wakina nani? naona kila siku ni malalamiko tu.
Wakati timu ya Taifa ya Soka Tanzania ''Taifa Stars'' ikiendelea kumwagiwa sifa kutokana na ushindi wa juzi dhidi ya Moroko,Serikari imesema itaunda kamati maalum ya kuisaidia timu hiyo ifanye vizuri katika michezo iliyosalia.
swali;hizi kamati si ndo zinaongoza kwa ufisadi,mtu akiwa kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.