mahakama ya kazi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2013
- 1,520
- 245
Wakati timu ya Taifa ya Soka Tanzania ''Taifa Stars'' ikiendelea kumwagiwa sifa kutokana na ushindi wa juzi dhidi ya Moroko,Serikari imesema itaunda kamati maalum ya kuisaidia timu hiyo ifanye vizuri katika michezo iliyosalia.
swali;hizi kamati si ndo zinaongoza kwa ufisadi,mtu akiwa kwenye kamati ni dili,je timu itafanya vizuri kweli? au wanataka tusifuzu au tusishike hata nafasi ya pili? naomba wadau munisaidie mawazo.
source; gazeti la tanzani daima la 26/3/2013