Mesi aishiwa hewa,atapika dimbani bolivia

Mesi aishiwa hewa,atapika dimbani bolivia

mahakama ya kazi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2013
Posts
1,520
Reaction score
245
Mechi kati ya Bolivia na Argentina ya kufuzu kombe la dunia,iliyochezwa nchini Bolivia katika mji wa La Paz urefu wa mita 4000 kutoka usawa wa bahari ilisababisha wachezaji wa Argentina kuishiwa hewa na wengine kutapika uwanjani.Mechi hiyo iliishia sare ya 1-1.
 
Nesi Kametapika cheulo, utumbo na kunde
 
Yaonyesha mji huo upo juu sana, 4000m toka usawa wa bahari?
 
Bolivia wangekuwa wanajitahidi kushinda mechi zao zote za nyumbani maana wachezaji wageni wanapata tabu sana sana hali hewa nzito sana....sasa timu yenyewe ndio hivyo tena tia maji kama Taifa Stars!
 
Back
Top Bottom