Search results

  1. Mathenge

    Uzi wa Matembezi (Travel & Vacations) na Vivutio vya Utalii nchini Tanzania

    Mimi nitawaletea Picha za mandhari nzuri ya Mbamba bay (Nyasa) pamoja na fukwe zake na mito na safu za milima .
  2. Mathenge

    Machimbo mazuri ya kupata bidhaa mbalimbali Kariakoo kwa bei nafuu

    Mkuu ,shukran umenisaidia sana kujua nami chimbo hizo,pamoja sana
  3. Mathenge

    INAUZWA Pata ramani nzuri na za kisasa Mwanza hata ukiwa mikoani tutakufanyia kazi yako

    Mkuu! nimekubali kazi yako ,nikiwa tayari tutayajenga
  4. Mathenge

    Putin asema sasa yupo tayari kwa mazungumzo ya amani na Serikali ya Ukraine 'kama wanataka mazungumzo'

    Wataalamu wa uchambuzi wa vita hii mko vizuri,tumejua sababu za vita,na kiini chake kuwani 1990,Nawapongeza wote.
  5. Mathenge

    GB WhatsApp vs FM WhatsApp

    Bro hiyo hapo juu link fungua utaipata mkuu
  6. Mathenge

    INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

    Mkuu habari vip miche ya Ndimu inapatikana ? Embe dodo ya kienyeji?
  7. Mathenge

    Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

    Ukisoma hii post ya Ben unaeza ona kama hadithi ,Kumbe inajumbe mzito wa kuwaaga Ndugu ,rafiki na jamaa zake .Mungu ni mwema kweli na kila goti litapigwa kwakwe siku ya hukumu ya mateso yako .
  8. Mathenge

    Isidingo la Gesi: Tuijue gharama ya Ujenzi wa Bomba la Gesi kutoka Mtwara kuja Dar es salaam

    Mkuu nimekuelewa vizuri sana kwenye hoja yako ambayo ina maslahi makubwa na uchumi wa Taifa letuu, Umeongeaa kitaalamu sana lakini najua watakuja na siasa kwenye hoja yako mkuu,Wazo na ushauri mzuri sana kwa Serikali yetu.
  9. Mathenge

    Msaada: Paji la uso kucheza

    Bro mpk ninapoandika msg hii nina mwezi na nusu jicho la kulia chini linacheza Balaa, lakini ya walimwengu sijaona ht moja, Kuna mkuu hapo juu kasema ni tissue namini hivoo tu, yaani ilifikia niende Hospital maana nilihis sasa hiki nini tena.
  10. Mathenge

    Nilichekwa sana Style yangu ya malezi ila leo hii watu wanatamani kuniiga

    Mkuu bila shaka unatokea DODOMA mpk SADA unazijua ahahaha ,basi haya NGWELU ,NGUKWE , MPELEMEHE piaa ahahaha ,akajifunze na kuwinda MBAWALA,FUNO na HARUZI ,bila kusahau kusenya KUNI ,mkuu nimecheza sna porini kuwinda Maeneo.ya Mpwapwa huko .Pamoja sana.
  11. Mathenge

    Watu wangu wanaangamia kwa kukosa Maarifa

    Mh aisee kuna,watu vichwa huwa vinachemka na kufikiria mambo makubwa,Mkuu umefikiria nini kuanzisha mada hii aisee? Inagonganisha ufahamu ujue ahahaa
  12. Mathenge

    Ni wapi pa uhakika unazoweza kuagiza vitu used (electronics) za USA, UK na Dubai

    Hongera mleta uzi umesababisha nami niufuatilie,
  13. Mathenge

    INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

    Mkuu nitakutafuta nahitaji sana miche hiyo nipo Mwanza ,nitakutafuta kwa namba zako hapo,Muda mwema mkuu
  14. Mathenge

    Je, wajua kuna bata wa mayai na nyama pia?

    Mkuu ulie leta bandiko unaulizwa,wapi wanapatikana bata hao hapa bongoland umeuchuna,au mkuu umetoa huko kwenye link umekuja turusha roho ?Tusaidie majibu tafadhari.
  15. Mathenge

    Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?

    Daah kuna mengi nimejifunza,kutokana na Bandiko la huyu Mkuu P.Mayala kwangu ni somo tosha na elimu pana ya kuifanyia kazi ,ht kwa familia yako tu ,kuna kitu cha,kujifunza.
  16. Mathenge

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

    Naona mambo yanazidi kunoga na kuweka historia kwa TANZANIA toka Utawala wa awamu ya kwanza mpk sasa Awamu ya Tano ,kuna jambo la kujifunza hapa kwa sasa.Tuendelee kusubiri nini hatima ya haya yote.
  17. Mathenge

    Hakuna ngumu kama kuacha Pombe

    Wakuu,pombe inamtesa bro wangu mpk amechakaa aisee ,yeyote anaejua hata dawa za kienyeji aniambie nimsaidie, maana nahis iko siku watamwokota kagongwa na gari na kakata moto,na anaishi Dar .Tafadhari hili kweli ni tatizo kwa wengi sana.
Back
Top Bottom