Search results

  1. S

    Ushauri wa Kitaalam na Mtaji wa Kulima Mihogo Wilaya ya Mkuranaga

    Kaka yangu amehamishiwa dodoma, ameniachia shamba la ekari zaidi ya 10 huko mkuranga (mwarusembe), nataka nifanye kilimo cha kisasa. Shamba hilo lilikuwa pori kubwa tu but nimelifyeka tayari na kulisafisha lakini nimekosa mtaji wa kuendelea kununua mbegu, kupanda na mahitaji mengine ya...
  2. S

    Ushauri wa Kitaalamu na mtaji wa Kulima Mihogo Wilaya ya Mkuranga

    Kaka yangu amehamishiwa dodoma, ameniachia shamba la ekari zaidi ya 10 huko mkuranga (mwarusembe), nataka nifanye kilimo cha kisasa. Shamba hilo lilikuwa pori kubwa tu but nimelifyeka tayari na kulisafisha lakini nimekosa mtaji wa kuendelea kununua mbegu, kupanda na mahitaji mengine ya...
  3. S

    Shule Nzuri Zilizoko DSM kwa Mwanafunzi ANAYE RE-SIT kidato cha 4

    Wanajamvi nina mdogo wangu anataka arisiti mtihani wa kidato cha nne mwakani 2016, ni shule gani nzuri yenye ufaulu mzuri kwa hapa DSM naweza kupata; sifa 1. iwe ya boarding 2. trend nzuri ya ufaulu kidato cha nne 3. iwe mkoa wa DSM 4. ufundishaji mzuri wa masomo ya HISTORY, GEOGRAPHY...
  4. S

    Anaweza kupata certificate ya business kama amefeli hesabu?

    Mdogo wangu amepata civ - 'E' hist - 'E' geo - 'E' kisw - 'C' engl - 'D' chem - 'D' bio - 'D' b/math - 'F'. Nataka akasome certificate yeyote ya business kati ya vyuo hivi 2; ita ya mwenge na cbe. Wadau naomba kufahau kama anaweza kupata nafasi. Msaada tafadhali asanteni sana
  5. S

    Nahitaji Chumba master, sebule na jiko kwa laki 2 kwa mwezi

    Urgent plz, nyumba ikiwa kinondoni, mwananyamala kurasini itakuwa poa zaidi... namba 0714409843
  6. S

    Nafasi za kujiunga na ualimu ngazi ya cheti

    Mdogo wangu amemaliza form iv anataka akasomee ualimu vyuo vya serikali.... nauliza je ibado anayo nafasi ya kuapply au deadline imeshapita? Asanteni sana
  7. S

    Nahitaji Fundi Ujenzi Aliyeko Lushoto Tanga

    Nataka kujenga nyumba ya vyumba vitatu na sebule iliyounganika na dining..... maeneo ya Kwemakame/Kwai.. Kama uko maeneo ya karibu na hapo au lushoto mjini na una sifa ya kufanya kazi na mimi plz inbox me
  8. S

    Emergency!! Nahitaji daktari wa watoto kwa Dar

    Mtoto wangu alichomwaga sindando ya quinin mwezi january bt imemletea maumivu ya mguu na baadae akawa hawezi kukanyaga chini kisigino kinamuuma... yuko dar kwa ajili ya easter tu.. naomba msaada wa daktari wa magonjwa ya watoto Namba yangu ni 0714409843
  9. S

    Msaada wa upasuaji: Baba yangu anasumbuliwa na GOITA

    Salaam, Naombeni sana msaada wa kupata daktari atakaemtibu baba yangu anasumbuliwa na uvimbe kooni (Goita).. Nimetafuta huduma sehemu nyingi but hajapata nafuu nahisi the best option ni kufanyiwa upasuaji. Wataalamu wangu nitashukuru sana kama nitapata daktari bingwa atakayemtibu baba yangu...
  10. S

    Msaada, Nafasi ya kurudia kidato cha tatu

    Salam wakuu! Mdogo wangu amemaliza form four mwaka jana hajafanya vizuri, amepata division four (pass). Anataka arudie kidato cha tatu kama private candidate, naomba msaada wa shule nzuri ya BOARDING, mkoa wowote tanzania bt nikipata Dar, Bagamoyo, Moro au Pwani itakuwa poa zaidi. ASANTENI SANA
  11. S

    Msaada: Uvimbe kama jipu katika uume wangu

    Nimeamka asubuhi ya leo gafla naona kitu kama upele mkubwa kiasi kama jipu hivi sehemu ya shingo ya uume wangu. Uvimbe huo hauumi kabisa but unanipa wasiwasi coz haijawahi kunitokea. Naomba msaada tafadhali nifahamu ni nini na nichukue hatua gani mapema.
  12. S

    Msaada wa makazi Dar es Salaam (chumba cha kupanga)

    ninafanya kazi posta karibu na NBC.... nahitaji nyumba ya kuishi angalau yenye chumba kimoja (master) na sebule. napendelea maeneo ya sinza, kigamboni, kurasini au sehemu yeyote ambayo ni rahisi kufika ofisin. Sina familia kwa sasa... Naomba msaada tafadhali coz sina uzoefu sana na namna ya...
  13. S

    Mwanangu Ana E Zote na F 1 ya Hesabu, Je Anaweza Kupata Nafasi za Nursing?

    mwanangu ana matokeo ya F4 ambapo amepata E zote na F moja, nataka nimpeleke nursing je ana sifa? naomba ushauri wenu wana jf........... mkoa wowote
  14. S

    Walimu 2 wa Economics Wanahitajika Haraka

    Nahitaji walimu 2 wa somo la Economics.... shule yangu iko tanga mjini kabisa.. kama unadhani unaweza kuwahi fursa hii, tafadhali tuma maombi yako kwa mathystephen@gmail.com au piga 0687853301 Shule iko Tanga Mjini
  15. S

    Rosmin Secondary School Fees Structure

    Ada ya shule rosmini ni sh ngap? na wanayo combination ya ECA? kwa anayejua anifahamishe tafadhali. nina mwanangu ana A ya Commerce na A ya B/keeping na anapenda sana hiyo shule. Naomba kuwasilisha
  16. S

    Urgently! Teachers needed: Coastal high school (tanga)

    Coastal High School is Located at Tanga City. It is a Private School With Both A Level and O Level Students. Currently, the School Invites Highly Qualified Tanzanians to Fill 2 Vacant Posts Below 1. English Language - A Level (1 Post) 2. Basic Mathematics - O Level (1 Post) QUALIFICATIONS 1...
  17. S

    Nimepata watoto mapacha na x wangu na niko kwenye real serious relationship na mdada mwingine

    Mimi ni kijana mhitimu wa elimu ya juu, nilivyokuwa chuo nikawa kwny mahusiano ya kawaida na binti flan wa mwaka wa 1 nikiwa 2nd yr na kwa kipindi chote tukawa tunajifunza tabia za kila mmoja kama atafaa kuwa katika ndoa ama la. Ndani ya miezi 14 ya mahusiano yetu nijifunza vitu vingi sana vya...
  18. S

    Mwalimu wa A level Language anahitajika fasta

    Poleni kwa majukumu ya kazi, mm ni mtaaluma katika shule mojawapo hapa jijini Tanga, nahitaji mwalimu wa masomo ya Language I na II kwa A level. Sifa Za Awali: Awe amehitimu elimu ya chuo kikuu na kupata angalau GPA ya 3.0 au zaidi awe amefaulu vizuri masomo yake ya kidato cha sita na kupata...
  19. S

    huyu amepata C 1na D 2, aende wapi?

    kuna dogo langu amepata C 1 ya History na D 2 za Geography na Kiswahili... anaweza kuendelea na masomo gani? msaada tafadhali!
  20. S

    Oryx na Mihan gas, which is the best choice?

    Nataka nichukue mtungi wa gas, bt sijajua aina gani ya gas nichukue kati ya oryx na mihan gas. Mwenye experience za matumizi tafadhali nisaidie kiushauri. Shukrani sana
Back
Top Bottom