Msaada wa makazi Dar es Salaam (chumba cha kupanga)

SENGATI

Senior Member
Jan 18, 2013
127
26
ninafanya kazi posta karibu na NBC.... nahitaji nyumba ya kuishi angalau yenye chumba kimoja (master) na sebule.
napendelea maeneo ya sinza, kigamboni, kurasini au sehemu yeyote ambayo ni rahisi kufika ofisin.
Sina familia kwa sasa... Naomba msaada tafadhali coz sina uzoefu sana na namna ya kupata nyumba ya kupanga dar
asanteni
 
Kigamboni patakufaa sana ukipata unavuka na pantoni mdogomdogo ofisini
 
kama akiwa na gari kigamboni hapamfai yaani saa 12 uwe feri na ofisin ndio unafika saa moja.
 
ninafanya kazi posta karibu na NBC.... nahitaji nyumba ya kuishi angalau yenye chumba kimoja (master) na sebule.
napendelea maeneo ya sinza, kigamboni, kurasini au sehemu yeyote ambayo ni rahisi kufika ofisin.
Sina familia kwa sasa... Naomba msaada tafadhali coz sina uzoefu sana na namna ya kupata nyumba ya kupanga dar
asanteni

google hii......

Barelawyer Properties Real Estate
ufanye kuchagua.....
 
Ninayo IPO kigogo round about barabarani..INA fens vyumba 4. Kimoja master..jiko sebule mbili..balcony..maji yanatoka full tiles...kwa mwezi laki3
 
ninafanya kazi posta karibu
na NBC.... nahitaji nyumba ya kuishi angalau yenye chumba kimoja
(master) na sebule.
napendelea maeneo ya sinza, kigamboni, kurasini au sehemu yeyote ambayo
ni rahisi kufika ofisin.
Sina familia kwa sasa... Naomba msaada tafadhali coz sina uzoefu sana na
namna ya kupata nyumba ya kupanga dar
asanteni

Kigamboni kuna chumba na sebule sh. 60,000, njoo PM
 
Back
Top Bottom