Poleni kwa majukumu ya kazi, mm ni mtaaluma katika shule mojawapo hapa jijini Tanga, nahitaji mwalimu wa masomo ya Language I na II kwa A level.
Sifa Za Awali:
Awe amehitimu elimu ya chuo kikuu na kupata angalau GPA ya 3.0 au zaidi
awe amefaulu vizuri masomo yake ya kidato cha sita na kupata angalau alama C katika somo ya Language
kama unadhani umetimiza sifa tajwa hapo juu na una uwezo wa kufundisha, tafadhali ni PM
Nashukuru kwa ushirikiano wenu