Search results

  1. usiambini

    Putin na Russia jiandaeni kisaikolojia, Boris Johnson anarudi

    Are you serious?Ni viongozi wabinafsi tu na watu wa caliba yako. Rasimal what?Dubai hakuna hata madini ya mchanga na wapo jui
  2. usiambini

    Je, wajua kwamba Katiba hii mbovu inamruhusu Rais kuteua Watu wa familia yake kushika vyeo mbalimbali?

    Kwa wenye roho mbaya ni nzuri.Kipimo cha ubovu ni yule mwenda zake hata hao vichogo wenzako wanajua
  3. usiambini

    Israel ni Dhulumat

    Dhulumat
  4. usiambini

    Hata mkiruhusiwa kufanya mikutano ya kisiasa mtatueleza nini cha maana tuwaelewe?

    Kuna kitu sielewi, Wanoshabikia awamu ya mwenda zake wengi wao ni watu roho mbaya ,sura ngumu yaani ile mijitu katili inayo jifanya mema mbele za watu .Sura ngumu .Watu moderate and low huezi kuta group hii.
  5. usiambini

    Kimbunga Jobo: Kamisheni ya kukabiliana na maafa Zanzibar yawatahadharisha wananchi

    Kasi ya kumbunga JOBO imepungua maradufu. Ndugu zetu wa Mafia hali ipoje?
  6. usiambini

    Makampuni ya simu yadharau agizo la Serikali (TCRA)

    Kosa la wajumbe wa kigamboni
  7. usiambini

    Single mother anahitajika Umri 29-39

    Kafanye kazi kijana,kulelewa si kuzuri
  8. usiambini

    Lower the price mitandao!

    Tambua! *Nauli ya Buses *Bei ya mafuta *Bei ya beer *sigaret *Data Vikipanda huaga havishuki , 100mb 500 /= tamko la serikali linazungumzia mitandao gani kurudi bei ya zamani? Hakuna mabadiliko
  9. usiambini

    Mwinyi ,unajidhihirisha mapema ?????

    Hali ndugu mwinyi. Nakukumbusha tu wewe unakitaka kiti cha Urais wa zanzibar kutetea wazanzibari Na wala si kua mwakilishi au ni seme Governor wa mkoloni
  10. usiambini

    Aibu hii ya Madagascar Mbona inafichwa? Serikali iache siasa kwenye afya Zetu

    We kweli Juha.Hivi hukuona siasa ????? hivi unajua maana ya siasa???? kwanini si wataalamu wa afya walofatilia hiyo dawa??? ni viongozi wa kisiasa walopigia chapuo .Wali drag watalaamu wawili watatu na walipotua tu nchini wakampa onyo Kabudi Macho yalirudi ndani kana pilitoni
  11. usiambini

    Aibu hii ya Madagascar Mbona inafichwa? Serikali iache siasa kwenye afya Zetu

    Msomi? only scientists wanatambulika ni wasomi.Wengine ni washairi tu .
Back
Top Bottom