Mwinyi ,unajidhihirisha mapema ?????

Mwinyi ,unajidhihirisha mapema ?????

usiambini

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
632
Reaction score
567
Hali ndugu mwinyi.
Nakukumbusha tu wewe unakitaka kiti cha Urais wa zanzibar kutetea wazanzibari
Na wala si kua mwakilishi au ni seme Governor wa mkoloni
 
Hali ndugu mwinyi.
Nakukumbusha tu wewe unakitaka kiti cha Urais wa zanzibar kutetea wazanzibari
Na wala si kua mwakilishi au ni seme Governor wa mkoloni
Kuna nini
 
Hali ndugu mwinyi.
Nakukumbusha tu wewe unakitaka kiti cha Urais wa zanzibar kutetea wazanzibari
Na wala si kua mwakilishi au ni seme Governor wa mkoloni

Umeshachelewa Yakhe. Huyo ameshakua kibaraka/mwakilishi wa mfalme wa Tanganyika.

Na jana alipewa maagizo mbele ya hadhara ya kuhakikisha anamteua msaidizi wake kutokea lile koloni letu lingine. Ole wake sasa asitekeleze maagizo ya mfalme wetu.
 
Mwinyi ni pandikizi letu sisi wa bara la kutulindia Muungano dhalimu
 
Mwinyi hajawahi kua mzanzibari.... Wamesukumiziwa tu. Mabeberu ccm kazi yao ni kuinyonya na kuididimiza zanzibar
 
Mimi kitu ambacho kinanishanganza wanaotokwa mapovu na kulia lia wote kuhusu ,,haki za Wanzanzibari'' siyo Wazanzibari wenyewe, sasa unajiuliza wewe mleta Mada umeshiba zako Mbege na mtori mambo ya Zanzibbar yanakuhusu nini?

Low IQ!
 
Back
Top Bottom