Search results

  1. C

    Ole Sendeka akaribia kuzipiga kavu kavu na RC wa Manyara kwenye mkutano

    Usilolijua ni usiku wa giza!!! Sendeka hana adabu hata kidogo na wala hajafunzwa kwao kuheshimu wakubwa wake. Kikao kile kiliitishwa na RC kwa ajili ya kuzungumza na wananchi wa kijiji cha Sukuro, na kulikuwa na mkutano wa hadhara lengo ni kuhusu ugawaji wa vitongoji wa kata ya Sukuro, ambao...
  2. C

    Leo ni siku ya mwanamke duniani pongezi kwa kina mama...

    miaka 15 baada ya beijing!!!anyway wanawake sasa walau wako juu,wanasikika japo si sana!walioko mjengoni hatujaona wamefanya nini mpaka sasa zaidi ya mashindano ya vitenge!!!
  3. C

    Leo ni siku ya mwanamke duniani pongezi kwa kina mama...

    sijajua kauli mbiu nini,wadau nijulisheni
  4. C

    Neno 'mchakato' ni sera za ulaghai?

    mkuu pundamilia heshima yako! feedback =mwitikio(kiswahili fasaha)
  5. C

    January Makamba: A New Generation Leader!

    hajaoa bado!!!so haujachelewa.mtafute!
  6. C

    January Makamba: A New Generation Leader!

    pole mwana Fa!!!January anastahili kupewa sifa,lakini na wewe kama uko smart tutakusifia tu wangu!halafu kumbe na nyinyi wanaume hampendani????I thought only ladies!!!!!!kama hauamini sifa tunazompa hapa,mtafute au fanya follow up ya kazi zake utakubaliana na mimi pamoja na Kelly!si kwamba...
  7. C

    January Makamba: A New Generation Leader!

    sio mipasho mwana fa,ni kujaribu kukueleza ukweli,hata wewe kama uko smart upstairs tutakusifia tu wanguu!!!ah lakini hata wanaume hampendani??????
  8. C

    January Makamba: A New Generation Leader!

    Mwana Fa!hiyo sio mipasho ni kukueleza ukweli,au umeumia????usijali wangu na wewe jitahidi tutakusifia tu!
  9. C

    January Makamba: A New Generation Leader!

    JANUARY ni kiongozi mzuri,ni kijana aliyetulia tofauti na watoto wengi wa wakubwa,ana elimu safi,hakurupuki anapoongea!!kama hamtaki asifiwe poleni nyie!!!!!!!HABARI NDIYO HIYO!January tunakuombea Mungu akupe umri na afya njema,wengi tuko nyuma yako kukupa support
  10. C

    January Makamba: A New Generation Leader!

    Yes Kelly!!!!!!!!!January is a leader,kwanza ametulia sana ukilinganisha na watoto wengi wa wakubwa tunaowajua!The guy is smart,ana uwezo wa kuongoza,elimu safi,personality bomba,hakurupuki anapoongea,na anajua anachoongea,wanaoponda kwa hoja hii ya Kelly ni walewale wanafiki wasiopenda kuona...
  11. C

    Kikwete mteue Rostam kuwa Waziri, Yes I dare you!

    msijifanye mnaishi katika nchi ya kufikirika!!!!!mzee mwana kijiji hii thread yako inaonyesha umeandika kwa hasira,unaweza kutengeneza territory yako if you wish,mara nyingi nasoma thread zako ni za kizushi na za uchochezi unatamani sana watz wakusupport hayo unayoyafikiria is impossible ,hiyo...
  12. C

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Heshima yenu wakuu!!asubuhi hii niliona post ikisema Masha na Chikawe wameenda monduli jana?ninavyokumbuka jana ni siku ya muungano na kwa wale waliokuwa wanaangalia tbc1 maadhimisho ya siku ya muungano yalirushwa live, Mh. Masha alikuwepo uwanjani na usiku alikuwepo kwenye flight PW kutoka DAR...
  13. C

    Je tuhahitaji tena Ze Utamu?

    nimeiona hiyo picha ni mbaya na ni chafu,hajamdhalilisha mh.Rais tu bali watanzania wote walio wastaarabu na wanaojiheshimu,NAMLAANI huyo aliyetengeneza hiyo picha,imeniumiza na imeniogopesha ,amewezaje kuthubutu kufanya jambo la aina hiyo,Watanzania wenzangu tunaenda wapi?hii new technology...
  14. C

    Je tuhahitaji tena Ze Utamu?

    heshima mbele!tusiige utamaduni ambao hatukuwa nao hapo mwanzo.Inasikitisha kuona hii blog ya ze utamu inaendeleza libeneke la kuchafua watu sasa mpaka wamefikia hatua ya kumchafua Rais wa nchi!!!!!najiuliza maswali mengi ni kwamba hakuna wa kuzuia hili ?hakuna sheria yoyote ya nchi inayokataza...
  15. C

    Hongera JK na Mama Salma

    Hongereni sana!!20yrs sio mchezo,Mungu awatangulie na awaongoze mfike kwenye golden jubilee!!!!Kiluminati una matatizo wewe!!!!!hivyo vimeo umempa wewe?
  16. C

    swali kwa wanawake II

    bonnie kuwa specific yupi mwanamke au mwanaume,nyamayao ana uhakika na anachokisema!
  17. C

    swali kwa wanawake II

    ni kweli kabisa Nyamayao,mambo mengine ni hulka ya mtu!kwanza kama haumuamini mkeo au mpenzio achana nae na sio kumfikiria ndivyo sivyo!!
  18. C

    Madagascar president steps down

    Ni vizuri kama tukiwa tunaomba heri kwa ajili ya nchi yetu Tanzania,inanishangaza kusoma comments za watu kama NYAMBALA anayeomba yaliyotokea madagscar yatokee na hapa,mimi nadhani tufikiri kabla ya kuandika humu!!!!!JK akijiuzulu wewe una uwezo wa kuongoza hii nchi????????au unaropoka...
  19. C

    Waziri Masha na Kashfa ya Vitambulisho

    Masha kama mtu mwingine yeyoye ana haki ya kujitetea dhidi ya tuhuma zilizotolewa juu yake,sasa lipi jipya kwenu?magazeti yaliandika uongo na ndio maana amekanusha tena kwa ushahidi wa passport yake!!tusiwe tunajump kwenye issues tusizojua ukweli uko wapi,Masha is clean whether magazeti ya ipp...
  20. C

    Amatus Liyumba: Balaa!

    Hii ni kuchachafuana tu na kuiga utamaduni ambao wanatanzania hatukua nao.Hii technology ya habari nadhani kwa baadhi ya walio wengi hawajui nini madhumuni yake,na sasa tumegeuza ni sehemu ya kuchafuana na kuandika chochote mtu anachojisikia kuandika.Hata kama kweli kwenye hiyo orodha wapo...
Back
Top Bottom