Madagascar president steps down

Waingereza wana msemo " show me your friend and I shall tell you your character". Sasa Muungwana na EL wote ni mafisadi na ndio maana marafiki zao pia ni mafisadi wa kutupwa mpaka wananchi wao wanawastukia!! Hapa wadanganyika bado tumelala usingizi wa pono!!
 
Nadhani Tanzania ikipata mwanajeshi mzalendo mwenye uchungu na nchi yake kitu kama kilichotea Madagascar ni muhimu kutokea, nchi inamalizwa na Majambazi wa CCM ambao wanahodhi madaraka yote na pia wanaendelea kuiibia nchi, nadhani ujio wa jeshi chini ya uongozi wa mzalendo itakuwa jambo jema. Majambazi wa CCM hawatoondoka kupitia masanduku ya kura kwa sababu wanaamini kuifisadi nchi ni haki yao, kuiongoza tanzania ni jukumu lao na kuiibia nchi ni lengo lao.

MAJAMBAZI WA CCM SIKU YENU INAKUJA.
 
Hao wajeshi wanatazama wananchi waliomo wakoje,natumai kwa upande wa Zanzibar wanajeshi wachache tu wanaweza kuamua na kupata sapoti ya hali ya juu ,ila hapa Tanganyika wamechangayika wezi na mafisadi ,ikiwa mwizi anatandikiwa zulia jekundu unafikiria kutapatikana sapoti ni lazima mapigano yaive kikweli kweli ,ila Zanzibar wananchi washakubali kuwa chini ya utwala wa Sultani CCM basi wataendelea kula dongo na wachache wakila tambi..
 
Hivi kweli Jamii Forums - The home of great thinkers ndio watu wanaandika kuwa Tanzania tunahitaji exchange of power kwa style ya Madacascar. Hivi kweli tunahitaji mtu asiyeheshimu katiba ya nchi ajinyakulie madaraka? Hivi kweli tunahitaji kiongozi anayeungwa mkono na watu ambao idadi yao rasmi haijulikani, just because they live in the capital?
Hivi iwapo humu Jamii Forums kuna vijana wa shule za msingi na sekondari wanasoma maoni ya namna hiyo, watapata fundisho gani?
Kwa changamoto tu labda pitia hapa BBC Africa have your say BBC NEWS | Have Your Say | What next for Madagascar? ili upate maoni ya wengine duniani especially kule ambako walishawahi kudanganyika kuwa mtindo uliotumika Madagascar unafaa.
Mtanzania usidanganyike, anayeshindwa kuwaconvince wapiga kura wamchague hapaswi kulazimisha kujiingiza mwenyewe madarakani. Huko ni kuwadharau wananchi na katiba ya nchi.
 
Haya mkuu mojawapo ya maoni kutoka hio link ni kama hii hapa chini:

A president who is elected by with an 80% abstention rate cannot be considered as democratically elected. Ravalomanana's regime was marked by his authoritarism, the imprisonment of political opponents, and the lack of freedom of expression.
Why would the international community and the African Union resort to all means to try and oust Robert Mugabe in Zimbabwe, who also considers himself "democratically elected" and condemn the Malagasy people and army for ousting a president of the same kind?
 
I know very much and I mean it. Katika dimbwi la ufisadi ambao ni state sponsored kama hili ndani ya nchi yetu kwa nini isiwe joy jamaa kugive up power?

I doubt every word in your statement.... give up power to who??
Do you think the Tanzania military will do any better than what JK is doing?

Mind you we have come so far and be grateful that at least we have seen some light in JKs term. Our neighbouring countries wish to be like Tanzania I'm in Kenya now and whatever happens here they wish their leaders would take responsibility and also be for those implicated in scandals be taken to courts as it is in Tanzania.

Changes dont come easily and no human being would just embrace the changes as they come...some will fight back until they are defeated.....
 
Mind you we have come so far and be grateful that at least we have seen some light in JKs term.

These words tell me that you have no clues as to what is happening on the ground right now in TZ. What kinda of light are u talking about????????????
 
These words tell me that you have no clues as to what is happening on the ground right now in TZ. What kinda of light are u talking about????????????

You might be surprised mate!
I might not be in Tanzania but I get every detail of things going around..my point is and still will be that we do not need to have military taking over the Government just because of what you think is going on... We are past that we need to think clearly and if we do elect leaders we want them to be responsible and we need results for sure.

Madagascar isn't Tanzania neither is Congo Tanzania! Lets be Tanzanians and demand results ...stop whining and do something useful.
 
Ni vizuri kama tukiwa tunaomba heri kwa ajili ya nchi yetu Tanzania,inanishangaza kusoma comments za watu kama NYAMBALA anayeomba yaliyotokea madagscar yatokee na hapa,mimi nadhani tufikiri kabla ya kuandika humu!!!!!JK akijiuzulu wewe una uwezo wa kuongoza hii nchi????????au unaropoka tu????????ONGEA TARATIBU FIKIRI HARAKA NA SI KUONGEA HARAKA UNAFIKIRI TARATIBU
 
Haya mkuu mojawapo ya maoni kutoka hio link ni kama hii hapa chini:

A president who is elected by with an 80% abstention rate cannot be considered as democratically elected. Ravalomanana's regime was marked by his authoritarism, the imprisonment of political opponents, and the lack of freedom of expression.
Why would the international community and the African Union resort to all means to try and oust Robert Mugabe in Zimbabwe, who also considers himself "democratically elected" and condemn the Malagasy people and army for ousting a president of the same kind?

Nyambala kama katika comments zote umechagua hii ambayo inachosema haimake hata 5% ya maoni na umeona uache the most popular comments then you either need to attend statistics class or its not worth dicussing with you any matter that needs some degree of mental ability.
 
I dont think you know what you are talking about...
MKUU ZEMARCOPOLO

i dont think u also know what u wrote:
 
Yaleyale ya wasiokuwa na majibu. Haya kaa hivyohivyo, ila tafadhali acha kuiombea nchi yetu balaa. Kilichotokea Madagascar ni balaa na kuombea hali kama hiyo itokee Tanzania is an offence.

Hatuiombee nchi balaa, hata madagascar hawakuhitaji hiyo balaa iwafike, ila wameona bora walianzishe balaa la sasa ili kuzuia ambalo lingetokea huko mbeleni baada ya Rais kula nchi na kumaliza kila kitu. Haki inadaiwa, hakuna atakayekupa haki yako mdomoni. Woga wa WTZ ndio umewafanya mafisadi kutamba, akifisadi, then akisemwa kidogo anang'aka mpaka waliothubutu kusema wanafyata mkia.
 
The DJ is only 34 years old! The so called African Union (inayomkingia kifua El -Bashir
wa Sudan na Darfur yake asiende mahakamani) and the international community who
are condemning this have gone mad?

The ousted President came into power in 1992 in the same manner! and they recognized
him.98% of African Presidents come to power the back door {people like the young
ex-form four Joseph Kabila of Zaire (DRC)who was raised in DAR }and still are respected
by the same lunatic bodies. Kwa kufuata katiba ya Madagascar(Malagasy) huyu bwana
mdogo anatakiwa asuburi after six years ndio agombee urahisi, this is crazy.

When you have ufisadi and Uswahiba the Kikwete style and state sponsored
opposition parties this is the imminent solution..People's power takes over when
the social fabric collapses.

Ravalmanana aliamua alipe jeshi lakini kwa sababu WAJESHI wamesoma vizuri
alama za nyakati wakaamua kumpatia madaraka yule kijana kwani ni mtu wa watu!
A mere mayor who was a DJ and owns a small but booming TV and Radio. Mbona
Babu Col.Gaddafi Muamar alikuja madarakani 40 years ago kwa MAPINDUZI ya
kijeshi na mapaka leo yupo no democracy na Libya haitembaezi bakuli kama Bongo?

The bottom line is hakuna katiba ambayo ni functional in any Banana Republic
including Tanzania. It was only last year Msanii Kikwete alimwandalia Ravalmanana
dhifa ya kitaifa pamoja na mapungufu yote lakini hakuona wala kuweka kwenye
perspective kilio cha watu wa Malagasy chini ya utawala wake wa kibabe na
mbovu. Hatuna haja ya kutumia 40bn/= plus Tanazania shilings kwa uchaguzi feki
kama ule wa 2005 uliomweka madarakani KIKWETE kwa maslahi ya Rostam Aziz,
Teddy Lowasa and Co.Ltd. Kama wote wakilala People's paower itachukua hatamu
na tutampata kiongozi mbele kwa mbele.

Aluta continua Wanakijiji tusiandike tu !!!!!!! Tuokoe gharama like they have
done kule inawezekana kumbe?
 
Last edited by a moderator:
Mama Mia,
Everybody knows what is talking about. People do talk purposely, if you think they don't know what they are talking about, talk on behalf of them, then, you will see if you have covered what they intent to talk. Respect others' opinions.
 
You might be surprised mate!
I might not be in Tanzania but I get every detail of things going around..my point is and still will be that we do not need to have military taking over the Government just because of what you think is going on... We are past that we need to think clearly and if we do elect leaders we want them to be responsible and we need results for sure.

Madagascar isn't Tanzania neither is Congo Tanzania! Lets be Tanzanians and demand results ...stop whining and do something useful.

Wewe na Zemarcopolo mnanishangaza sana can you show me or quote where I mentioned millitary taking over in tz au mahali nilipoandika au kuonyesha napenda mapinduzi ya kijeshi yatokee Tanzania. Why are you twisting the thread this way. Na nyie mmeajiriwa na RA nini??? Maana huko kwa RA kupindishapindisha mambo ni one of the qualifications ya kuajiriwa.

Tatizo la watu kama nyie, the cynics huwa mna bent and distorted minds instead of the open ones.
 
Hiyo ndio maana ya peoples power,kama kiongozi anakiuka katiba lazima protest iwepo kutoka kwa wananchi,tuliona Thailand na sasa madagascar,so watanzania tunaweza kujifunza kitu.
 
Mkereme umechangia vizuri lakini ukitaka watu wakuelewe vizuri tumia lugha yetu adhimu ya kiswahili ili watu wote wakuelewe vizuri.
 
Well, inabidi Afrika tufike mahali tukubali gharama za demokrasia. kutoana kwa ubabe au kuzuiana kuingia madarakani kwa ubabe vyote ni counter productive.

Tanzania tuwe makini kwani watanzania wansoma hizi mbinu. natumaini tutaendelea kutumia ballot boxes kubadilisha viongozi wetu.
 
Hiyo ndio maana ya peoples power,kama kiongozi anakiuka katiba lazima protest iwepo kutoka kwa wananchi,tuliona Thailand na sasa madagascar,so watanzania tunaweza kujifunza kitu.

Sidhani kama protest watu elfu 5 katika nchi ya watu milioni 20 tunaweza kuiita peoples power. Peoples' power ni ale watu wote waliposhirikishwa kuamua nani aongoze nchi kwa miaka ya awamu hiyo ya utawala mpaka uchaguzi unaofuata. Iwapo kuna haja ya kumtoa madarakani Rais, ni sawa kufanya maandamano, lakini maandamano hayo yawe na lengo la kumshinikiza kiongozi kutoka madarakani na akitoka basi utaratibu unaofaa kuchagua kiongozi mwingine ufanyike mara moja, sio hii ya mtu kujitangaza kuwa yeye ndio atakuwa Rais wakati hata umri wa kuwa Rais hajafikisha kikatiba. Hii ya mtu kuja na kutangaza kubadilisha katiba ili imsuite yeye kuongoza sijui mnaishabikia nini? Kweli mna uhakika hii kitu ndio mnatamani itokee kwenye ardhi tuliyorithi toka kwa Mkwawa aliyekubali kujiua kwa kulinda heshima ya watu wa aina yake?
Rais alitangaza referendum ili wananchi wote wapate fursa ya kutoa maoni yao, je kwanini huyu MUHUNI amekataa kufanya hivyo, well kwa sababu anajua ukitoka nje ya Antananarivo hakuna mtu anayemjua na hawezi kuwaconvince watu walio sober. Yeye anaweza kuongea na vijana wahuni wahuni wa mtaani, hao ndio wanaomuelewa. Na msishangazwe sana na maamuzi ya Jeshi kumsupport huyu DJ, kuna lobbying ya Rais aliyetolewa kwa kura mwaka 2006 akagoma kutoka Ikulu na sasa anarevenge kwa Rais aliyechaguliwa na wananchi.
Huyu dogo endeleeni kumshabikia ila kuweni na uhakika kuwa muda utawapa jibu halisi. Fuatilieni kwa ukaribu nini kitatokea Madagascar in the next 3 years, ili muone kama huyu DJ ataongeza hicho kipato cha mwananchi. By the way msisahau kuwa huyu ni mfanyabiashara na biashara amezianza muda si mrefu na bado hajafikia level ya kuitwa tajiri ila matendo yake yote amekuwa ni mpenda utajiri na power, sasa anayo - ours are eyes!
Kwa kweli nimesononeshwa sana na maoni ya aina hiyo, hasa kwa vile wanaoyatoa ndio miongoni mwa watanzania wachache waliopata fursa angalau ya kuweza kutumia computer, nilitegemea watanzania kama hao wawe walimu kwa wale waliokosa fursa hizo, ila kama hii ndio ari ya watanzania wenye upeo basi inasononesha.
 
Back
Top Bottom