Search results

  1. Mau Mau

    Familia ya Hayati Magufuli: Tumeacha muda ujibu, hatutajibu mtu yeyote

    Hivi Mitaahira Kama hii mnaitoaga wapi??? Ila CCM wana kazi 😝😝😝
  2. Mau Mau

    M23 yaua wanajeshi 3 wa Tanzania huko Goma DRC

    Kwahiyo hapo Watanzania wanakuwa hawajauawa au
  3. Mau Mau

    Nani anakumbuka ajali ya msafara wa Rais Hayati Mkapa dhidi ya lori kwenye kona ya Bwiru mkoani Mwanza

    Wewe Jamaa ni Muongo Sijapata Kuona!!! Kwanza Hii ajali haikutokea Kona Ya Bwiru, Ilikuwa ni NYAKATO SOKONI MWANZA.. Pili Ajali haikuhusisha Lori, Ilikuwa ni Bus la Ally’s Lilikouwa likitokea Musoma au Tarime. Tatu Bus Hilo lilikuwa Limepaki National AMBAPO Traffic Walimlazimisha dereva...
  4. Mau Mau

    Askari polisi adaiwa kufia gesti akimtoroka mwanamke, Polisi Watoa tamko

    Hili tukio Tumepangwa, Hakuna uhalisia kwenye kinachoelezewa. Poti kauawa, sema namna ya kulitengeneza tukio ndiyo wamefeli.
  5. Mau Mau

    Askari polisi adaiwa kufia gesti akimtoroka mwanamke, Polisi Watoa tamko

    Hapa doubts ni mingi sàna kuna giza kubwa sn ukifuatilia kwa jicho la ndani, upo uwezekano mkubwa hili tukio limepikwa. Ndg zangu Tunaambiwa Askari alitoròka, Akaenda kuruka, akaangukia kitu chenye kali kikamchoma kichwani, utata unaanzia hapa: Hicho kitu chenye ncha kali kimekutwa eneo hilo...
  6. Mau Mau

    Serengeti: Wananchi wawatuhumu wanaodhaniwa kuwa Askari wa Wanyamapori kwa utekaji

    NDUGU zangu Wakurya WENZANGU dawa ni kuacha ujangili vinginevo tutaendelea kulia bila msaada kila siku
  7. Mau Mau

    Bila dhuluma wala kukimbiza wafanyabiashara, Rais Samia aweka rekodi ukusanyaji mapato

    Tusidanganyane Hakuna kilichofanyika... Kwanini Mapato yalinganishwe kwa miezi inayofanana tu??? Kama September 2020 Mapato yalikuwa 1.7Tn Maana yake October yaliongezeka, Nov yakaongezeka, Dec yskaongezeka, Jan, 2021 yakaongezeka.. Iweje kufika July 2021 Mapato yashuke mpaka 1.5Tn...
  8. Mau Mau

    #COVID19 January Makamba: Kauli ya Askofu Gwajima kuhusu chanjo na dhamira ya Serikali haikubaliki

    USA ya Pale Arumeru Arusha au??? kama kitu hujui si muwe mnanyamaza tu kuliko kuja kujiaibisha humu😂😂😂
  9. Mau Mau

    Mwenyekiti, Katibu Mkuu CHADEMA kigugumizi cha nini sakata la Wabunge wa Viti Maalum?

    Binafsi napongeza sana kilichofanyika leo, Uchaguz sawa ulikuwa wa dhulma sasa Unagomea nafasi ambazo hata ukizigomea majamaa yataendelea na kazi kama kawa na hakuna kitachobadilika. Upinzani wangegomea kabisaa hizi nafasi kwny hiyo battle wao ndo wangekuwa looser.
  10. Mau Mau

    A BITTER TRUTH: Kwanini watu weusi walishindwa kwenda Ulaya/Amerika (Ughaibuni) kuwachukua wazungu (Whites) kisha kuwaleta Afrika kuwafanya watumwa?

    Lakini Kwenye Geography yetu tulisoma, Kilimo cha Ngano Canada, Mahindi US, Mpunga Malaysia, Mpira Burma, Nyama Denmark, Sufi Australia nk Pamoja na Vipindi vyao virefu vya Baridi na barafu
  11. Mau Mau

    Fahamu Alama ya jicho lenye maana ya siri kubwa likihusishwa na Ushetani

    Dhana ya uwepo wa kitu cha siri imeghubika nembo za kwenye sarafu na kufanywa kuwa ishara au alama inayoonekana. Alama ya 'Jicho' - hili ni jicho ndani ya umbo la pembe tatu - ni moja ya alama inayohusishwa na masuala ya ushetani ambayo pia imeonekana kuwa na uhusiano wa karibu na Iluminati...
  12. Mau Mau

    Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe usiwanyime wengine Ubunge kisa wewe hujashinda

    Halafu unakuta eti nawewe kuna familia inakutegemea uiongoze daaah 😂
  13. Mau Mau

    Lissu jipime kwa Malema kwenye Msiba wa Winnie Mandela

    Ikitokea Lissu akapewa nafasi na akaongea hivi, trust me hatoamini 😀😀😀 Watamnyang'Anya maiki huku nje wakimngoja kumfinya
  14. Mau Mau

    Joshua Nassari: CCM ni limbuyu (mbuyu mkubwa)

    Mimi nadhani ukienda Ccm huwa wanawafyonza some nutrients in brain
  15. Mau Mau

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020

    Wapo Madiwani, Wabunge wakiaminiwa na Wananchi kwa Gharama kubwa ikiwamo uhai lakini hao Jamaa waliziba masikio na Kuhamia Chama tawala kwa vipande 30 vya fedha ili Wapate uhakika wa kusimamishwa wagombea 2020. Mpaka sasa MTULIA kule Kinondomi chaliii, Laana ya Usaliti haijawahi kuwa Na baraka.
  16. Mau Mau

    SP Mwaija, mkuu wa intelijensia polisi mkoa wa Kilimanjaro awanyanyasa na kuwatesa wafanyabiashara mkoa wa Kilimanjaro

    Huyu Dada Lazma Atakuwa Mchapa Kazi Mzuri. Na hili ni Sokomoko tu ili Aondolewe Waizi Wapumue
  17. Mau Mau

    Muamko Uchangiaji Watanzania kuwatoa jela kina MBOWE ni Mwanzo Mzuri kwa Wanamageuzi na Wana mabadiliko!!!

    Tayari mkuu, wamedhaminiwa usiku usiku Mpaka tukashangaa
  18. Mau Mau

    Muamko Uchangiaji Watanzania kuwatoa jela kina MBOWE ni Mwanzo Mzuri kwa Wanamageuzi na Wana mabadiliko!!!

    Kitendo cha Watanzania wote kwa ujumla wao kuungana kwa Pamoja bila kujali Vyama wala Itikadi tena kwa nguvu na morale ya Ajabu ni moja ya Jambo la ki Historia katika Nchi Yetu. Wanamageuzi na Wanamabadiliko wote Huu ni mwanzo mzuri mnoooo kufikia nchi ya Ahadi!!! Bila kujali Vyama vyenu Huu ni...
Back
Top Bottom