Muamko Uchangiaji Watanzania kuwatoa jela kina MBOWE ni Mwanzo Mzuri kwa Wanamageuzi na Wana mabadiliko!!!

Mau Mau

JF-Expert Member
Dec 30, 2012
656
500
Kitendo cha Watanzania wote kwa ujumla wao kuungana kwa Pamoja bila kujali Vyama wala Itikadi tena kwa nguvu na morale ya Ajabu ni moja ya Jambo la ki Historia katika Nchi Yetu. Wanamageuzi na Wanamabadiliko wote Huu ni mwanzo mzuri mnoooo kufikia nchi ya Ahadi!!!
Bila kujali Vyama vyenu Huu ni muda muafaka wa nyie Kuanzisha Jambo kubwa la Faida!!!

Suala la Watu kufanya Fundraising ya kasi kwa muda mfupi ni kielelezo tosha Watanzania wanetulia kimwili ila mioyoni wana maumivu makubwa!!
U N G A N E N I Kumbe mkiweka msingi mzuri Asubuhi mnatuondokea Hawa Jamaa.
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
8,247
2,000

Mkuu Tuko pazuri mno.
 
sblandes

JF-Expert Member
Apr 25, 2010
4,310

Mkuu hakuna la kujipongeza,sio reconciliation.Toka lini mshtakiwa analipiwa faini na alie fungua mashaka yaani CCM na taasisi ya Uraisi?
Kitu muhimu hasa kwa Chadema badirisha muelekeo vinginevyo mtarudishwa mahabusi,serikali haipo tiyari kuvumila au kuheshimu siasa za upinzani.Imegeuka mzunguko wa kuchagia pesa pasipo faida.
Mahakama,jela,faini,mahabusu,polisi,virungu, mabomu ya machozi imegeuka INTIFADA.
 
Nyangomboli

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
3,135
2,000
Hakuna cha michango ya wananchi hapo acheni kupotosha watu.
Kitendo cha Watanzania wote kwa ujumla wao kuungana kwa Pamoja bila kujali Vyama wala Itikadi tena kwa nguvu na morale ya Ajabu ni moja ya Jambo la ki Historia katika Nchi Yetu. Wanamageuzi na Wanamabadiliko wote Huu ni mwanzo mzuri mnoooo kufikia nchi ya Ahadi!!!
Bila kujali Vyama vyenu Huu ni muda muafaka wa nyie Kuanzisha Jambo kubwa la Faida!!!

Suala la Watu kufanya Fundraising ya kasi kwa muda mfupi ni kielelezo tosha Watanzania wanetulia kimwili ila mioyoni wana maumivu makubwa!!
U N G A N E N I Kumbe mkiweka msingi mzuri Asubuhi mnatuondokea Hawa Jamaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karne

JF-Expert Member
Jun 13, 2016
3,974
2,000
Naishauri mahakama ijikite kupiga watu fines zaidi kwenye hukumu kuliko vifungo ili kuepuka msongamano magerezani na pia kiwe chanzo mahsusi cha mapato.
 
alunamda

Member
Nov 8, 2018
41
125
Hakuna kitu kinaitwa badirisha ni badilisha
Mkuu hakuna la kujipongeza,sio reconciliation.Toka lini mshtakiwa analipiwa faini na alie fungua mashaka yaani CCM na taasisi ya Uraisi?
Kitu muhimu hasa kwa Chadema badirisha muelekeo vinginevyo mtarudishwa mahabusi,serikali haipo tiyari kuvumila au kuheshimu siasa za upinzani.Imegeuka mzunguko wa kuchagia pesa pasipo faida.
Mahakama,jela,faini,mahabusu,polisi,virungu, mabomu ya machozi imegeuka INTIFADA.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
dindilichuma

JF-Expert Member
Dec 19, 2015
1,063
2,000
Kitendo cha Watanzania wote kwa ujumla wao kuungana kwa Pamoja bila kujali Vyama wala Itikadi tena kwa nguvu na morale ya Ajabu ni moja ya Jambo la ki Historia katika Nchi Yetu. Wanamageuzi na Wanamabadiliko wote Huu ni mwanzo mzuri mnoooo kufikia nchi ya Ahadi!!!
Bila kujali Vyama vyenu Huu ni muda muafaka wa nyie Kuanzisha Jambo kubwa la Faida!!!

Suala la Watu kufanya Fundraising ya kasi kwa muda mfupi ni kielelezo tosha Watanzania wanetulia kimwili ila mioyoni wana maumivu makubwa!!
U N G A N E N I Kumbe mkiweka msingi mzuri Asubuhi mnatuondokea Hawa Jamaa.
Neno "watanzania wote" unamaanisha nini hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bana likasi

JF-Expert Member
Jan 7, 2020
4,771
2,000
Kuna,ili Bomu lililotengenezwa makusudi la ukosefu wa ajira linalokujalipuka sio mda mrefu ndio litakaloleta mabadiliko ngoja njaa izidi kuuma litalipuka tu
 
Bana likasi

JF-Expert Member
Jan 7, 2020
4,771
2,000
Upinzani wana mtaji MKubwa sana wa watu wawatumie kuleta mabadiliko chanja ili kuepusha nchi kuwa Mali ya familia au kabila Fulani tu.Japo Nyerere alionya atukusikia
 
stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
20,166
2,000
Kuna mawazo mengine yanasikitisha mno. Nani kakuambia kuwa tunahitaji mageuzi?? Kama Uhuru tulishapata mwaka sitini na moja. Muda huu ni wa kutafuta maendeleo. Fanya kazi kijana.
 
Top Bottom